Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nikiri kuwa Chelsea walifanya big mistake kumuacha mtu kama Piatek na kumsajili Higuaín hata kama ana rekodi ya kufunga lakini hawezi fananishwa na Piatek anayechipukia. Tutegemee Chelsea ya kufight for Championship katika miaka kama mitatu ijayo bila kombe
 
Higuan hana tofauti na lukaku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiri kuwa Chelsea walifanya big mistake kumuacha mtu kama Piatek na kumsajili Higuaín hata kama ana rekodi ya kufunga lakini hawezi fananishwa na Piatek anayechipukia. Tutegemee Chelsea ya kufight for Championship katika miaka kama mitatu ijayo bila kombe
Nakukumbusha kuwa huyo Higuain wako yupo kwa mkopo next season anaondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am very happy to see Alonso benched today
Screenshot_20190130-215100.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo.nacheki game ya Chelsea lakini kwa uchezeahaji wa kuongo Jorginho naona mipira kumfikia mfungaji inakua ngumu sana nazani Chelsea tumekosa kiungo mbunifu bado ata akija Cavani bado ataonekana Garasa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona pamepoa sana?
AFC BOURNEMOUTH 1 -Chelsea

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Wakati Piatek kapiga mbili jana. Eti timu ya ushindani inamsajili Higuain. Paredes kahusishwa kuja kwetu wenye nguvu wakamchukua basi turudi hata kwa Barrela hakuna kitu bodi inafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bora Chelsea Tuwe na rekodi ya kufukuza makocha lakini uyu kocha afukuzwa mapema tu uwezo wake mdogo sana Naamini hata Europ Itamshinda yaani mpaka uyu mfungaji aliyemsajili atamuona Garasa kwa.mbinu zake mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom