Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Fans are angry of Sarri every where, No plan B to the game, No plan B after defeat, no Plan B after being out of top 4, In Fact they are saying Sarri is predictable, even Card City will beat us 7-0, wait and see
 
Jana sijaona tatizo la Jorginho kabsa. Luiz ndo alizngua katuchoma magoli mawili. Au hukuangalia mpira?
huna macho mpira niliona huwez tetea taila kwan goli zote ni luiz luiz alipanda kufanya backup maana midle yako hiyo haina mbinu kaatazame wazungu wanavyolaumu hiyo kenge jognho haijui kubuni nafasi
 
Wafiwa tupo jamani, uliona wapi mfiwa anaongea ongea sana na au kupitapita huku na kule. Tuache unafiki, kufiwa ni tendo baya sana.
Kama umekuja kwenye msiba inabidi uwe na adabu na kama huwezi, msiba haulazimishwi
 
Kante sio namba 6 na hawezi cheza io namba

Toka leicester(namba 6 alikua Drinkwater) na hata msimu ule Chelsea anabeba ndoo (namba 6 alikua Matic) yeye ni always box to box ila anajua kukaba pia lakini ukimpanga Kante namba 6 basi utakua unajitaftia matatizo ila box to box Kante ndio best position yake

Jorginho ni playmaker na anacheza vizuri nafasi yake na mpaka sasa ni mchezaji wa pili kwa Chelsea na kwenye ligi kwa through balls (nyuma ya David Luiz)kuliko hata Erikse,Anderson na Sigurdson

Tatizo Chelsea ni forward line.Waneshindwa kuifunga timu yenye defense mbovu kama Arsenal wakati hadi timu kama Cardif zimemfunga!!!butu Hazard ana mechi ya tano kama sio 6 hajafunga ,Wilian nafikiri wadau wote wanaona utumbo anaoufanya pedro hana consistency na kwa sasa naona kaletwa Fat alvaro morata l(Higuain) aje kutoa msaada ila mpaka jana anatoka hajapiga hata shuti moja(0 shots)

Sasa jamani Sarri afanye nini?mlilamika alonso jana kacheza Emerson lakini hakukua na la maana zaidi

Mi naona Sarri hana makosa isipokua players ndio wanamuangusha
Acha unazi wewe ngedere kitunguu swaumu wewe Timu ya Taufa ya Ufarasa nani anacheza Namba 6 kama sio Kante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kante sio namba 6 na hawezi cheza io namba

Toka leicester(namba 6 alikua Drinkwater) na hata msimu ule Chelsea anabeba ndoo (namba 6 alikua Matic) yeye ni always box to box ila anajua kukaba pia lakini ukimpanga Kante namba 6 basi utakua unajitaftia matatizo ila box to box Kante ndio best position yake

Jorginho ni playmaker na anacheza vizuri nafasi yake na mpaka sasa ni mchezaji wa pili kwa Chelsea na kwenye ligi kwa through balls (nyuma ya David Luiz)kuliko hata Erikse,Anderson na Sigurdson

Tatizo Chelsea ni forward line.Waneshindwa kuifunga timu yenye defense mbovu kama Arsenal wakati hadi timu kama Cardif zimemfunga!!!butu Hazard ana mechi ya tano kama sio 6 hajafunga ,Wilian nafikiri wadau wote wanaona utumbo anaoufanya pedro hana consistency na kwa sasa naona kaletwa Fat alvaro morata l(Higuain) aje kutoa msaada ila mpaka jana anatoka hajapiga hata shuti moja(0 shots)

Sasa jamani Sarri afanye nini?mlilamika alonso jana kacheza Emerson lakini hakukua na la maana zaidi

Mi naona Sarri hana makosa isipokua players ndio wanamuangusha
we nae ni j..... Kweli erkisen ni wa kufananisha taila mkuu jognho acha ww ujui tuachie cfc yetu
 
The problem isn't Sarri, it's our players' characteristics. We are not direct but passive
Sarri is the problem...he is very damn stubborn...naive to realize his stupid system can't work with this damn dead woods.
He has to change his tatics and allow cante play in his previous role so that he can protect our shambles back line.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakati mwingine mashabiki akili zetu tunazijua wenyewe sisi kule kwetu tunamlaumu klopp,juzi juzi tu arsenal nao walikuwa wanamlaumu emery sasa bado zamu ya ole gunna

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea hatuna uvumilivu kama wa Liverpool na Arsenal na usitufananishe aisee. Tumezoea makombe ndio utamaduni wetu na huyu mzee lazima tu atimuliwe. Tunahitaji kocha wa kuifanya timu ishinde period
 
Sarri is the problem...he is very damn stubborn...naive to realize his stupid system can't work with this damn dead woods.
He has to change his tatics and allow cante play in his previous role so that he can protect our shambles back line.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sarri is a big problem, no plan B, very very predictable as always
 
Kante sio namba 6 na hawezi cheza io namba

Toka leicester(namba 6 alikua Drinkwater) na hata msimu ule Chelsea anabeba ndoo (namba 6 alikua Matic) yeye ni always box to box ila anajua kukaba pia lakini ukimpanga Kante namba 6 basi utakua unajitaftia matatizo ila box to box Kante ndio best position yake

Jorginho ni playmaker na anacheza vizuri nafasi yake na mpaka sasa ni mchezaji wa pili kwa Chelsea na kwenye ligi kwa through balls (nyuma ya David Luiz)kuliko hata Erikse,Anderson na Sigurdson

Tatizo Chelsea ni forward line.Waneshindwa kuifunga timu yenye defense mbovu kama Arsenal wakati hadi timu kama Cardif zimemfunga!!!butu Hazard ana mechi ya tano kama sio 6 hajafunga ,Wilian nafikiri wadau wote wanaona utumbo anaoufanya pedro hana consistency na kwa sasa naona kaletwa Fat alvaro morata l(Higuain) aje kutoa msaada ila mpaka jana anatoka hajapiga hata shuti moja(0 shots)

Sasa jamani Sarri afanye nini?mlilamika alonso jana kacheza Emerson lakini hakukua na la maana zaidi

Mi naona Sarri hana makosa isipokua players ndio wanamuangusha
Hiyo box to box ni namba ngapi?

Mm ninachojua conte alikuwa anatumia viungo wawil wakabaj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia Akili basi. Box to box ndo no.ngapi?? Ni 6,7,8,9,10 au 11??

Box to Box sio namba 6 bali katika mfumo wa namba ni kama 8 ila anafany kukaba(box lake) na kushambuli(box la maadui) yani anazurura baina ya box lake na la maadui timu pinzani
 
Kante 6, Joginho 8(Au Ampadu apewe Nafasi au kununua mbadala wa fab4 Leo kama inawezekana..no.7 Odoi, winga ya kushoto Hazard.Higuain no.9 nyuma ya Higuain Acheze Loftus.Luiz Asicheze kila match.Christensen Apewe Nafasi.Emerson Aendelee kuaminiwa.
Kante rud 6 jojinho nenda 8 ,bas tutamuona @Ollachuga humu,

Vinginevyo atakuwa anajipiga ban kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sarri is a big problem, no plan B, cery very predictable as always

Sarri ana tatizo gani ?timu ina create chancs kibao tatizo forward zenu butu bana mwacheeni Maurizio wawatu aendelee kupiga Embassy zake tu
IMG_3615.JPG
mmetengeneza nafasi sawa na manchester city mpaka now ila finishing mbovu alafu mnamlaumu Sarri labda umlaumu kwa kumleta fat alvaro Morata na kutokutafuta Forward wa maaana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom