Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii ni zaidi ya dharau. Hata kama kufungwa walau tungefungwa goli moja tungesema wamekamia lakini 4 tena bila hata majibu unaanzaje kunitetea.? Timu haifungi magoli inaruhusu tu.

Naanza kupata mashaka na Sarri. Amrudishe Kante nafasi yake, tuletewe kiubgo mwingine katikati pale, tunataka na striker wa maana. Hii haiwezekani.

Daah nimeumia sana. Sielewi!! Why

Sent using Jamii Forums mobile app
Striker si amekuja higuain ?mmpeni muda kwanza
 
Mwenyekiti wa kamati ya misiba Mentor yupo kweli?[emoji23][emoji23][emoji23].
Nawasalimu jamani kwa udhamini wa mtandao wa mnara wa 4G.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Rais wa napoli alishasema mbona.sarri sio kocha....haiwezekan kocha mafanikio yake ni kucheza tu mpira mzuri
 
Hazard na Higuain wake

Huo uwanja Liverpool alishinda nne bila na Mo Salah akipiga hattrick yake pekee ya msimu huu
 
Hii ni zaidi ya dharau. Hata kama kufungwa walau tungefungwa goli moja tungesema wamekamia lakini 4 tena bila hata majibu unaanzaje kujitetea.? Timu haifungi magoli inaruhusu tu.

Naanza kupata mashaka na Sarri. Amrudishe Kante nafasi yake, tuletewe kiubgo mwingine katikati pale, tunataka na striker wa maana. Hii haiwezekani.

Daah nimeumia sana. Sielewi!! Why

Sent using Jamii Forums mobile app


Unaongea habari za kuletewa kiungo wakati zimebaki saa 15 tu dirisha hili pekee la midseason kufungwa?
 
Huu msiba naona umekuwa na wazamiaji wengi, hata wengine avatar zao hazijulikani
 
Kocha Linazingua sanaaaaaa, amekua kama kocha wa Simba hana mbinu Mbadala kabisa, hakuna timu isiyojua Jojino ndio mpiga pasii ko ukimzuia yeye umemalizaa kila kituuu bado tuuuuu lipo na jojino Pumbavu kabisaaa


NIMESITISHA KUANGALIA MECHI ZOTE MPAKA KOCHA ATIMULIWE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom