Tutamaliza juu yenu, you will finish fourth.
Hata Acheni Lotte anasema mtachukua kombe ... .... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kwani hujasikia mpunga ulivyomwagwa na Abraham O Vich ... .... .... ..tayari Almunia keshapewa donge ..... ..... na waamuzi lukuki unafikiri hiyo jeuri wangeitoa wapi .... ..... ...
![]()
Acheni Lotte akilalamika .... ... jamani mpunga tumewapa chacha vipi? Mbona hamtubebi?
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
kazi ipo leoDua la Kuku Arse en All halimpati mwewe, si mmeona leo Totte wamesilibwa na Adebayor?