Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

wametangulia na baisikeli ya miti it should have been one one on that last minute dah
 
<p>
<b><font size="4"><font color="darkred">Long time ndio ukubwa huo siyo kuchungulia tu mje mkomae hapa hapa safi sana.</font></font></b></p>
<p>
</p>
<p>&nbsp;</p>
tupo mkulu,majukumu tu ila tupo wenzangu wapo chelsea ipo
 
Walijuwa hii ni premiere league....lazima tuwanyuke leo.....
 
Torres was bought to be a winner NOT at Chelsea fc ONLY but anywhere he belongs, (The gus is a real champion) , I believe that he is going to show us what he is made of tomorrow, kama ametengezwa kwa mawe au kwa matofali ya mchanga basi tutajua hiyo kesho ndani ya dakika 180 against Man U, the minutes will prove his WORTH. If we lose against Man U (Home and AwaY) then we won’t have any excuse in this season. I BELIEVE we WILL.

Let us Cross our fingers - CHELSEA EVER.............

Naona Elnino umeingia kwenye cowshed chacha baada ya hii mechi chijui masema nini? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Essien yellow card ... ...
 
Naona chelsick wanasumbuliwa sana na tactic za manure counter attack almost another goal wamepata kona .. .... .. goal kick ... ... jamani peasant wako wapi?
 
Sub ya Chelsick haina maana Drog the bar out .... .... Tor the res anakosa tena goli . ... ... ... drog the bar pale angefunga khe khe kheeeeeeee nani anapanga timu ya Chelsick khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Malouda na Anelka inn ... ..... .... .. Tor the res no impact at all ... ..... ...... ...£50 million in the dust bin khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Tor the res karibu afunge khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee bonge la kichwa .... Van on the task ... ....
 
Chacha Berba anaingia Hernandez aut .... .... ...huyu anataka goli kuwaadhibu Chelsick sasa maana wameshindwa ku-controll midfield .... ... . . Vandersar yellow card .... ..... .. wasting time ... Yellow card Rio high boot free kick ... .. za Drog the bar but is out Lamps to take ..... ... what a poor kick .... ...
 
....Chelsea mjijue mmefungwa mbili nunge 'on aggregate' hapa, nyie legezeni msuli tu. he he he!
 
pole mwalibu Ab, mkuu Inv. na kundi zima la Chelsea, we are the killers kheeeeeeeee
 
Poleni sana....Japo a 1-1 draw ingekua fair results....The EVRA-RAMIRES thing sio ya kuongelea.....That was a PENALTY, Clear PENALTY.....Lakini Ref ndo Mwamuzi wa Mwisho and so hakuwapa na 1-0 ndo matokeo....U have to sleep and live with that 4 this one week......Its not s'thing Hard 4 u to Overturn next Week. "U can do it and u will DO IT" 4 Now........POLENI SANA..........
 

01_roogoal_12_682x_1287375a.jpg


Bonge la c***


article-1374124-0B82A24000000578-775_634x399.jpg

Every reason to be delighted: Rooney celebrates

after scoring for United



article-1374124-0B82B0B500000578-643_634x392.jpg


Priceless: Wayne Rooney watches his first half

effort squeeze in





article-1374124-0B82B93B00000578-775_634x385.jpg


Key moment: Frank Lampard's effort is cleared

off the line by Patrice Evra





article-1374124-0B82C86900000578-681_634x430.jpg

Fan-tastic: United supporters celebrate at Stamford Bridge


Peasant watarudi kwa kishindo baada ya refa kuwabeba Manure - Aibu anyway bahasha za Manure zinakera sana kwa nini hawashindi kwa fair game? Well Chelsick nao ni tabia yao kutoa mpunga kwa hiyo imekula kwao wacheni mambo ya bahasha khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee chacha hata week ijayo mechi itaharibiwa kwa sababu ya bahasha. What a shame.
 
Poleni sana....Japo a 1-1 draw ingekua fair results....The EVRA-RAMIRES thing sio ya kuongelea.....That was a PENALTY, Clear PENALTY.....Lakini Ref ndo Mwamuzi wa Mwisho and so hakuwapa na 1-0 ndo matokeo....U have to sleep and live with that 4 this one week......Its not s'thing Hard 4 u to Overturn next Week. "U can do it and u will DO IT" 4 Now........POLENI SANA..........
scaled.php
 
....TORRES ana Gundu! ha ha ha, ...duuuhhhh... haijapata kutokea!
 
ukitaka kubomoa daraja la plastiki usitumie nguvu, washa moto kidogo tu.
 
Carlo-Ancelotti-Chelsea-Champions-League-Quar_2582406.jpg




Acheni Lotte .. ... ... ... tirade .. ... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom