Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

naona El-Nino anapiga makofi ya kishkaji......Sijui ni lini ataanza kuzifumania nyavu huyu jamaa....Hongereni kwa kurudisha........
 
poor decision from this ref....pale Essien kacheza mpira....haikua faul ile........Crap!!!!!!!!!!
 
eee bana tumekoswa hapa na hawa jamaa hawachezi mpira lakini nuksi.
 
besela mara mbili??????????????? Duh!!! mna zali kinyama wazeeee!!!!!
 
eee bana tumekoswa hapa na hawa jamaa hawachezi mpira lakini nuksi.

Cech anajua sana......zote zina mkono wake.......ile free kick ina deflection flani hivi lakini kaigusa....otherwise ingekuwa new story mazeeee.....
 
Heheh wenger upo? Najua dressing room yako leo morale ni ndogo.

Hawa jamaa wana zali sana na mipira yao mirefu...
 
ebwana msipoangalia mtalia sasa hivi.....dalili ya mvua mawingu.......
 
Ha ha ha mkuu naona unatuchora tu saa hizi. Hongera kwa ushindi.


Watu wakimaliza hapa wanaamia jukwaa letu lol.
Si unajua mambo ya time difference mechi yetu imebidi niangalie kipindi cha pili, nilivyoona scoreline nikaishiwa nguvu nikasema siingi forum mpaka mechi iishe lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom