...better send the players likizo sasa, ni wakati wa 2nd string nao waonje EPL.
ni hasara hata kwa seasonal ticket holders, wanapoteza train/bus fares bure tu kwenda
kuangalia madudu haya.
Our season is over. Dhana eti Man United wata drop 7points ni ndoto za alinacha.
Tutange msimu ujao sasa, Wenger akitaka kusajili haya, akiamua kuendelea na paukwa pakawa zake,
pouwa vile vile, ...We are Arsenal Together We Stand!
Credits to the team esp Individual players who stood up to be counted, i.e Szczceny, Djourou, Wilshere,
na Theo Walcott...
Hakuna aliyetarajia msimu huu tungekuwa mbele ya Chelsea na Man City wanao fadhiliwa na ma "sugar daddy."