Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Hahahahahaha! Mbn hatukuonana Sikonge stesheni?, au haukuja na 'jongoo' nn toka JNIA?.....
Karibu sana tena mtani, kijiwe kilikuwa chini na usimamizi thabiti wa Padre Masa na Mkulima. Tumemiss mipicha yako kaka!, hope utakuja na mi-upload ya kulin asali frm Africa. :wink2:
Mkuu, nilikua natumia mabasi kusafiri.
Asante kwa kunikaribisha na mipicha itakuwepo bila wasi. naona Wacha1 amezidi kupandisha mzuka tu na hajaacha zake...LOL!
Nenda jukwaa la picha nimeeka mavitu huko.