Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ashante mkuu. Kazi kwako ushindwe mwenyewe usijesema hatujakupa shavu....vipi kesho utatoka?


Mhhh! na haya majeruhi Mkuu nina wasiwasi kama tutaweza kufanya kweli na kutake advantage ya ushindi wenu wa leo.

 
To be Frank nilikuwa naombea Draw katika hii game....Ila kuliko Wangeshinda Man Utd then its much better million times mmeshinda nyie the BLUES.....Siwezi kuwa mchoyo wa Pongezi katika hili....HONGERENI SANA......Hope u will do the same at OT.......


Ahsante mkuu. Kesho O's vipi mtakuwa fiti, au mtakuwa na hangover ya Wembley?
 
hahaha arsenal bila rvp kufunga magoli hawawezi. . Leyton orient wameambiwa wakishinda wanapelekwa las vegas. Ebanae hongera naona kama kawaa atkinson to the rescue lol guess fa wanted to prove whelan wrong.

Thanks again. Yeah, the penalty was kinda cheap one, anyway that's football.
Hao jamaa wa O's kesho wanatoa macho maana wana imani kwamba inawezekana, kazi kwao gooners kesho.
 
King Kenny nae akienda kuwafunga man united itakuwaa powaa sana.

Arsenal mkipata ubingwa itabidi mgawane na Chelsea, maana mnachekelea kubebwa kwa mbeleko na Chelsea, la sivyo mtaishia kama juzi.
 
Arsenal mkipata ubingwa itabidi mgawane na Chelsea, maana mnabebwa kwa mbeleko na Chelsea, la sivyo mtaishia kama juzi.

EPL ni mechi 38 chacha njomba chijui unaongea lugha gani Mafioso team wanagombea kucheza Europa we Vipi?

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee no favours here ... .... ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom