Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,616
- 21,148
heheheh, kadri wanavyomchezesha nando na anafail kufunga ndivyo confidence inashuka. Ila leo nadhani anatoa bicra yake ndani ya jezi ya chelsea.
Kwani ni lazima afunge yeye?? wakati mabeki wamemtolea macho yeye, wachezaji wengine wanatumia mwanya huo huo kuziona nyavu