26 is very old kwa soccer players... ukimlinganisha na messi, suarez nk. anakuwa babu yaoHe is just 26.
He has played less than 10 games for Chelsea.
We all know that he will score goals.
Our worry is to win the remaining games and not that Torres doesn't score!!
![]()
Traitor .. .... .... .... .... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ab-T&Peasant naona mmefurahi, tukutane fainali🙂)) mkifanikiwa kupita lakini..
Invisible naona server leo iko safi kweli kweli..ushindi wa jana nini!!..ha ha
Big-Up!
Vipi Chelsea anakutana na Madrid?
Wakuu Vipi bado tunasubiri goli la Tor The Res ... Mungiki Brother et al msikimbie tena jamani kijiwe kinahitajika hichi khe khe khe kheeeeeeeeeee ... ..... ...... angalieni wabaya wenu wanakuja hapo weekend .... ..... ..... .... shindaneni chacha kutoa mpunga.
Vipi utabiri wako wa draw ya Ijumaa, unahisi Arsenal atapangiwa kucheza na nani? khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Utabiri wangu (whp):
Tottenham-Chelsea
Man U-Schalke
Real-Inter
Shakhtar-Barca
Mourinho naona ashaanza kusema emotionally hataki akutane na timu alizowahi kuzicoach , Ronaldo anataka wakutane na Man Utd. Ila kwa jinsi UEFA walivyo biased na timu za UK hawakawii kuzipanga timu mbili za England ziumane zenyewe kwa zenyewe na nyingine na one of the Spanish Giants.Nisingependa kukutana na Jose kwenye hatua hii, labda kwenye final ingekuwa poa. Alitutoa mwaka jana (refa alichangia zaidi lakini) hivyo najau ana uwezo wa kututoa tena maana anaifahamu timu vilivyo.
Vipi utabiri wako wa draw ya Ijumaa, unahisi Arsenal atapangiwa kucheza na nani? khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Mourinho naona ashaanza kusema emotionally hataki akutane na timu alizowahi kuzicoach , Ronaldo anataka wakutane na Man Utd. Ila kwa jinsi UEFA walivyo biased na timu za UK hawakawii kuzipanga timu mbili za England ziumane zenyewe kwa zenyewe na nyingine na one of the Spanish Giants.
Tusubirie hapo kesho tuone.