Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pamoja na kumfukuza Bundi bado mnaonekana hamna raha ndio EPL hiyo .... .......

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chichi tunachonga mbele .... ...

...ushindi wao ungenoga siku ile ya snow bana, anyway
...ngoja nikawape pole kina Manda, Eqlypz, Belo, BJ et al kule jukwaani kwao.
 
man u kwishaaaaaaaaaaaaaaa mie shabiki wa arsenal ila nina raha sana leo hii
...ushindi wao ungenoga siku ile ya snow bana, anyway
...ngoja nikawape pole kina Manda, Eqlypz, Belo, BJ et al kule jukwaani kwao.
 
Ooops Invisible, Rev Kishoka, Elnino, Pamoja na Mungiki Brother kule Kibera hongereni kwa ushindi ..... ...... ..... ....angalau matanga yameisha nilikuwa na wasiwasi maana Cash Cole alimkosa na ile air gun yake lakini Lamps baada ya kubwia unga Ooops ni JT ndio kampa alikuwa very sharp kuona matanga yanaisha ... ...

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hongereni Z Bluz kwa kututembezea kichapo.

Observation1: Yule Luis ni noma aisee, misimu miwili ijayo atakuwa best defender EPL, ila apunguze viatu, Runi jana alikiona cha mtema kuni.

Observation2: Yule refa ms8ng8 sana. Asante Peasant kwa kukiri hilo.

It is not over till its over.
 
Ukiona mgonjwa anapata nafuu ghafla......usishangae chelsick wakachezea kichapo kwa blackpool j3.
 
11 more games to play on, total of 33 points kushindaniwa - who knows? waliosoma hesabu watakubalia na mimi.

Good job for new young super star David Luiz, Good job for Torres as well..

Bahati mbaya kwa Man U kumpoteza kisiki wenu Vidic - hapo natabiri point zingine tatu kuteketea hiyo jmosi mtakapocheza na liverpool iliyofufuka.

Yes, Arsenal need to be happy baada ya kuwapunguzia kibarua - ila ngoma yenu huwa haikeshi na hilo ndiyo tatizo lenu sugu.
 
Peasant mpaka jino la pasaka umelitoa leo, hongereni kwa kututungua.
Ila haikuwa fair mechi na yule refarii ni Maza FK kweli kweli!!!...haya zamu yetu bundi🙂)
 
Elnino umefufuka mkuu karibu sana bado tunamsubiri Invisible and co. lazima watokee huu ndio mwanya wao wakikosea dirisha dogo likifungwa hata msimu utakuwa umekwisha .... .... Mungiki Brother aliwashiwa umeme jana kule Kibera na alionekana akitoa pongezi Rev Kishoka where are you buddy? All the mafioso team come out ... ... ndio mpira huo sio mkiwa na matanga mnajificha mkishinda mnajificha, tunawaona kina Coward Peasant na Rev. Bandia masanilo peke yao come out to be counted kwa mazuri na mabaya.
 
Eti Ze Bluz JF fans....
Ni kama nimemwona Supa Moderator Ab Tchaz kagonga senks mitaa flani. Is he around?, mbn anaonekana kwenye 'sherehe' tu?

Tuwasiliane basi Ab Tchaz.
 
Peasant mpaka jino la pasaka umelitoa leo, hongereni kwa kututungua.
Ila haikuwa fair mechi na yule refarii ni Maza FK kweli kweli!!!...haya zamu yetu bundi🙂)

Hahaha, nimeipenda hiyo BJ lakini bado nimeficha jino la Xmas maana ndio kwanza tumepunguza point 3 tu ngoja tuone zitatufikisha wapi.
 
Martin-Atkinson.jpg

Eti Ze Bluz JF fans....
Ni kama nimemwona Supa Moderator Ab Tchaz kagonga senks mitaa flani. Is he around?, mbn anaonekana kwenye 'sherehe' tu?

Tuwasiliane basi Ab Tchaz.

Nambie mtani wangu?...:hand: Nilikua likizo ndefu huko Afrika na jana ilikua siku poa sana ya kurudi ukumbini.
Kichapo ni kichapo tu aisee....u r a fair looser...kudos!
 
Nambie mtani wangu?...:hand: Nilikua likizo ndefu huko Afrika na jana ilikua siku poa sana ya kurudi ukumbini.
Kichapo ni kichapo tu aisee....u r a fair looser...kudos!

Hahahahahaha! Mbn hatukuonana Sikonge stesheni?, au haukuja na 'jongoo' nn toka JNIA?.....
Karibu sana tena mtani, kijiwe kilikuwa chini na usimamizi thabiti wa Padre Masa na Mkulima. Tumemiss mipicha yako kaka!, hope utakuja na mi-upload ya kulin asali frm Africa. :wink2:
 
Nambie mtani wangu?...:hand: Nilikua likizo ndefu huko Afrika na jana ilikua siku poa sana ya kurudi ukumbini.
Kichapo ni kichapo tu aisee....u r a fair looser...kudos!

Well well well si tulisema karibu sana ndiyo dirisha dogo hili ... .... .... longtime mpira ndio utakuwa mzuri sio mnajificha nasikia Manure kijasho chembamba kinawatoka wamekiona cha moto. Tunakwenda kuwasalimia tarehe 12 lunchtime kuwaonyesha tu what to come kwenye FA Cup, tukiwa tunatoka kuwakomoa Barca Nou Camp. Karibu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom