Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hahahahaha hatimae bikra imetoka, Hongera sana Chelsea the Blues, hakika ninyi ni wanaume wa shoka.

Advantage kwetu Liverpool, Let's go Reds.
 
Hahahahaha hatimae bikra imetoka, Hongera sana Chelsea the Blues, hakika ninyi ni wanaume wa shoka.

Advantage kwetu Liverpool, Let's go Reds.
ngolo kante acha tuu alipwe mshahara nono,maana morinyo alikili city is unbiten but jana blues wamenipa usingizi mwororo kbsa.
 
Waliokua wanapiga tantalila wko wapi final score man city 0 chelsea 2
 
Hujiamin ndio maana hujaliandika kiufasahaa ilo tusi

Hii inaonyesha unamuogopa mtu usie mjua nakufananisha na mtu anae ogopa kivuli chake mwenyewe

Usiwe mtumwa na fikra zako
Fu**ck yo hujui ku appreciate mazuri ys wenzako utakua mzaramo tu sio kitu
 
Hujiamin ndio maana hujaliandika kiufasahaa ilo tusi

Hii inaonyesha unamuogopa mtu usie mjua nakufananisha na mtu anae ogopa kivuli chake mwenyewe

Usiwe mtumwa na fikra zako
Nyinyi si tuliwaknyaga mkachomoa subiri next match mtatujua vizuri ...we are on fire.... We are coming to yo....so you better shut the *** off
 
Nyinyi si tuliwaknyaga mkachomoa subiri next match mtatujua vizuri ...we are on fire.... We are coming to yo....so you better shut the **** off
Umechoka kutakana eeh???vzr

Haya hongera kwa kuwa onfire
Rafiki yenu wa kwel ni spurs

Na hongera pia kwa kumpiga city
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom