[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kupata vichekesho kama hivi tuma neno CHELSEA kwenda 12345
Hiyo ni banter tu mnachukia.. Kuitwa Chelshit sio tusi ni banter. Matusi yanajulikana mbona nyie kwenye uzi wetu mnatuita Liverfool na hakuna mwenye ana catch feelings?Karibu kwenye thread yetu...