Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
Sarri on beating City: "For me it is not easy to win against Guardiola, as you know. I am happy." He adds "we need to find the right determination in other matches." #CFC #MCFC #CHEMCI
Favour ya nini .? Na wakati mi nafanya kilicho ndani ya uwezo wanguKwani mwaka 2014 uliyonizuia Mimi ukiwa hugombanii Nafasi yoyote ukampa ubingwa Man City hukumfanyia Favour Man City?
Napenda kumsalimia Swahiba wangu Wacha1, Mbu, Joka Kuu na wengineo...
Ndo manake ili ligi iebdelee kuwa na ushindani isiwe ligi ys team moja kama Ujerumani, ufaransa, ItaliaWasindikize na ujumbe kwamba Roho Mbaya haijengi? Wanamshusha City wakati hawana plan za ubingwa!
Ndo manake ili ligi iebdelee kuwa na ushindani isiwe ligi ys team moja kama Ujerumani, ufaransa, Italia
ChelshitUko kwenye jukwaa letu , kuwa na heshima , its Chelsea and not Chelshit
Sarri on beating City: "For me it is not easy to win against Guardiola, as you know. I am happy." He adds "we need to find the right determination in other matches." #CFC #MCFC #CHEMCI
Tuelewe nn hapoSarri on beating Guardiola finally: "I am happy but not for that. I am happy for the win but not for that [beating Guardiola]." Adds "they are a step ahead" which makes him extra proud for the win on the day. #CFC #CHEMCI #MCFC