Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mou anajua sana kucheza na top four. Msipokua makini mnaweza kupoteza pamoja na kwamba kikosi chake kinaonekana hakina uwezo kama cha Klopp.

Sure, ila jana mmefanya kitu kizuri, angalau mmerudisha competitiveness kwenye ligi, maana tulishakata tamaa juu ya Man City.

Arsenal, Chelsea na Tottenham ziko karibu pia tofauti na msimu uliopita, maana mpaka hapa alikuwa juu sana.
 
Sasa hapo anyeenda kukutana naye City mechi ijayo anaweza kuomba poo. Anaweza kumfanya kitu kibaya
 
Kwa hiyo unataka kusemaje juu hii mechi!!

Hii Mechi Ninaitabiri kuwa itaisha 0 - 0 coz Mourinho atajia jambo moja tu la Kutafuta Sare basi!

Atapaki Basi mwanzo mwisho..

Sababu Ya Arsenal Kufunga Magoli Mawili katika Mechi yao na Man U nikwamba Ile game Mourinho Alifunguka na Hakupaki basi alitaka ashinde..

Sasa akija akicheza nasisi Anfield nakuhakikishia Hafunguki Hata Siku moja na wala Haji na lengo la kuwa lazima aondoke na 3 points.
 
Chelsea tuko vizuri shida ni moja tu mechi zingine huwa tunajiamini mno tofauti liver na man city wanachukulia kila mechi fainali
 
According to Spanish news outlet COPE, Chelsea have decided to send Morata on loan in January. The decision is made by Chelsea board and not by Sarri. Sarri is still happy to work with Morata but the club has decided to send him on loan in the winter transfer window.
 
Kante
1544391260775.gif
 
Ndugu zangu kwa sasa mmekwiva LKN bingwa ni Liverpool
Mtarudi CL na hilo ndiyo la maana zaidi
Tunashukuru kwa kazi kubwa ya kumtandika self claimed god of football
 
Ndugu zangu kwa sasa mmekwiva LKN bingwa ni Liverpool
Mtarudi CL na hilo ndiyo la maana zaidi
Tunashukuru kwa kazi kubwa ya kumtandika self claimed god of football
Ndugu yangu hongera unawaongoza farasi sita ila kuna ajali anakuja kukusababishia jose hapo hapo anfield,kisha tutayaongea ya ubingwa, kama unavyojua Liverpool kumfunga Man Utd ni ndoto ya mchana.
 
Kante, Azpilicueta & Alonso have all signed new contracts at the club, and now Rudiger is set to be offered a new long term contract after an impressive start to the season.

Let's hope that Eden Hazard will be next...
 
Azpi na Alonso wanakunja ngapi according to new contracts ?
 
Eden Hazard has the most man of the matches, most assists, most chances created, most clear cut chances and the most take-ons, including seven goals.

Don’t ever tell me he’s not the best in the league again.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom