Ndo maana nimemuulizaMkuu kwani humwonagi Liverpool?
Sasa hivi kwa sababu tia maji tia maji ndo anazuga eti anakuwa kwao tu.
Ni sawa na mtu ambaye amekonda kwa sababu za shida ila anasingizia diet.
[emoji16][emoji16]Karibu JF
Tunaendelea kukumbushana wakubwa1. Chelshit haimalizi ligi top3
2. Hazard hafikishi goals 20
May 2019
Tupe maelekezo kupata vichekesho vingine kama hikiCome one Hazard [emoji123][emoji123] 35+ this season ,#SarriBall
Afadhali yeye Golie bora kabisa duniani coutour katunguliwa mengi zaidi ya huyu kwa hivyo hakuna point hapo tafuta kingine,pia golie bora wa kikosi cha dunia de save katunguliwa zaidi, ila ubora upo pale pale hii sio habariGolie ghali duniani: Kepa Arizibagabaga ameshatunguliwa mara 13 katika mechi 15 hadi sasa