Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,586
Chelsea hongereni, mmefanya kazi nzuri haina kipimo.
Kazi kwangu kupambana na Man Utd ili nile Xmas nikiwa top.
Kazi kwangu kupambana na Man Utd ili nile Xmas nikiwa top.
Nakumbusha tu! Tayari Timu za Top Zeshakamilika!
Arsenal leo amewashusha rasmi kutoka Top 4...
Na sidhani Kama mutaweza Kumshusha tena (Probability)...
Now Eorpa next season inawasubiri tena...
Leo Mupigwe tu
Nafasi yeni Ni ya 5 msimu huu
Bila shaka hapa umepigwa dole la mkun duni
Ona sasa ulivyoaibika
Nakumbusha tu! Tayari Timu za Top Zeshakamilika!
Arsenal leo amewashusha rasmi kutoka Top 4...
Na sidhani Kama mutaweza Kumshusha tena (Probability)...
Now Eorpa next season inawasubiri tena...
Leo Mupigwe tu
Nafasi yeni Ni ya 5 msimu huu
Hapo alizuiwa kwa dakika ngapi?Sarri inaonesha Kaangalia records za games za Liverpool vs City akagundua Kuwa Klopp Humuachia Man City dakika 30 za mwanzo acheze Mpira then Anaenda Kumfunga.
Na hii ndiyo sifa ya Kumfunga Man City! Umzuwie dakika 30 za mwanzo tu! Ukifanikiwa Kumzui dakika 30 za mwanzo basi hakufungi tena.
Nikusahihishe kingKwa kweli Washabiki Wa Mpira (Nikiwemo Mimi) tunapenda sana Kushambulia Wachezaji Wanapoboronga!
Kama Leo Kupangwa Kwa Willian Washabiki Wameshambulia Sana, Lakini Hakuna lisilofaa Kwani goli alilogunga Kante Kabla ya Hazard Kuassist, Ni Willian ndiye Aliyekimbiza Mpira kutokea Kati Mpaka Ukamfika Hazard.
Hiyo ndio soka mkuuChelsea bhana! 😀😀 Unapigwa na Francis Cheka then Unakwenda Kumpiga Kwa Knockout Antony Joshua 😀😀
Unapigwa na Wolves then Unakwenda Kumpiga Man City Kwa Clean sheet 😀😀
Unajichosa bure hapo, mradi tu asimsifie hazard roho yake ndo itatuliaNikusahihishe king
Kukimbia alikimbia ndio akapiga mabeki wakaokoa kwa vichwa
Alonso akautuliza Kisha akamsogezea hazard na kumpasia kante
Hiyo ndio soka mkuu
Bado wewe siku yako yaja
Uko kwenye jukwaa letu , kuwa na heshima , its Chelsea and not Chelshithongereni sana chelshit at least mmetuweka kwenye history kuwa kuna muda tuliongoza ligi mwezi dec.2018
Ni kweli heshima ni kitu cha bure matusi si tija wala si ushabiki tunapoongelea soka embu tujikite kwenye soka ,tunapoongelea utani tujikite kwenye utaniUko kwenye jukwaa letu , kuwa na heshima , its Chelsea and not Chelshit
Hapa vip mbona umekimbia au
Muhindi amekukula jicho
Ndoto zipo na zinaruhusiwaMwisho wa msimu msimamo utakuwa hivi
1 Chelsea
2 Tottenham
3 Man city
4 Liverpool
Umesharudi au umekufa kama Ibrahim Pasha???
Kupata vichekesho kama hivi tuma neno CHELSEA kwenda 12345Mwisho wa msimu msimamo utakuwa hivi
1 Chelsea
2 Tottenham
3 Man city
4 Liverpool
It's Chelshit, the London Rent Boys a.k.a Butt Hurt Blue NosesUko kwenye jukwaa letu , kuwa na heshima , its Chelsea and not Chelshit
Karibu kwenye thread yetu...It's Chelshit, the London Rent Boys a.k.a Butt Hurt Blue Noses
Ni kweli heshima ni kitu cha bure matusi si tija wala si ushabiki tunapoongelea soka embu tujikite kwenye soka ,tunapoongelea utani tujikite kwenye utani