Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea bhana! 😀😀 Unapigwa na Francis Cheka then Unakwenda Kumpiga Kwa Knockout Antony Joshua 😀😀

Unapigwa na Wolves then Unakwenda Kumpiga Man City Kwa Clean sheet 😀😀
Sasa kwa Mpira huu waliocheza na Man City huoni tofauti na ule waliocheza na Wolves...?
 
Ni mchezo wa akili tu. Moyoni alikua anajua nini anamaanisha.
Kwa hii kauli nimemshangaa sana Sarri, kama kiongozi, kama kocha unakiri vipi tena hadharani kwamba huwezi kumfunga opponent wako? Ni motivation gani unayowapa wachezaji wako, kama si kuwakatisha tamaa kwamba hawawezi kumshinda City hata siku moja?

Tena amesema kabisa mara zote 3 walizokutana Guardiola amemfunga, hivyo hajui ni namna gani atamfunga City. Eti ni namna gani atamfunga City waulizwe wengine lakini si yeye.

Dah, ningekuwa shabiki wa Chelsea ningekuwa disappointed sana. Yaani kocha amekubali kufungwa kabla ya mechi haijachezwa
 
Mixed feelings.

Unachukia kwa kuwa ulichoombea kimeshindikana lakini pia kushinda kwangu kunakufanya uongoze ligi.

Kwa hiyo nakosa namna ya kukuelezea wewe kiumbe.
Najua Mashabiki wengi Wa Liverpool wanataka Chelsea leo ishinde!

But Fanboys Wa Chelshit wana Kidomodomo sana Kwahiyo Bora Leo Mupigwe Nyingi tu.

Natumai Leo Nitashiriki Katika Msiba hapa
 
hongereni sana chelshit at least mmetuweka kwenye history kuwa kuna muda tuliongoza ligi mwezi dec.2018
 
Tatizo lenu sisi tukiwatajia Past events munatwambia Tunataja Historia!

Lakini nyinyi Mukotayari Kutaja Past events zetu kuwa Tuliongiza ligi tukakosa ubingwa!

Mimi sizungumzii Kuchukua Ubingwa! Lakini Kwenye Nafasi ya pili sianguki nikaja ya 3.
Niliposema Liverpool wataanguka nilikuwa naongelea "yajayo" (future) kama wewe usemavyo kuhusu nafasi ya 2 ama sio? Kwa maneno mengine ligi bado mbichi. Tusubiri tuone ubashiri wa nani utakuwa sahihi..
 
Niliposema Liverpool wataanguka nilikuwa naongelea "yajayo" (future) kama wewe usemavyo kuhusu nafasi ya 2 ama sio? Kwa maneno mengine ligi bado mbichi. Tusubiri tuone ubashiri wa nani utakuwa sahihi..

Ukweli ndiyo huu Nafasi ya Kwanza Haina uhakika wa Kuwa tutadumu lakini kwenye Nafasi ya Pili uhakika Wa Kudumu upo Wa Kuwa Hakuna Wa Kutushusha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom