Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

PEP: I have been to Stamford Bridge many times and I have won once, last season, always I lose there. They are a good side, a really good team. When you see the XI and the people on the bench, they are a real contender.
 
Ningefurahi kuona hiki kikosi kesho
 

Attachments

  • Screenshot_20181207-173916.png
    Screenshot_20181207-173916.png
    104.3 KB · Views: 34
Hazard: “We have plenty of possession, but we often have to rely on individual actions to score goals. City are all about team play. You can see a lot of movement from them that creates spaces. They get their crosses in and they create more chances, and score more goals"
 
Afadhali yeye Golie bora kabisa duniani coutour katunguliwa mengi zaidi ya huyu kwa hivyo hakuna point hapo tafuta kingine,pia golie bora wa kikosi cha dunia de save katunguliwa zaidi, ila ubora upo pale pale hii sio habari
Golie ghali duniani zaid: Kepa Arizibagabaga ameshatunguliwa mara 13 katika mechi 15 epl hadi sasa
 
pia nikukumbushe Hakuna mshabiki wa Liverpool Tanzania kashuhudia live team yake ikichukua epl kumbuka miaka ya 90 Tanzania yetu haikuwa na TV na nasikitika mpaka mtaingia kaburini Hakuna ubingwa mtaona mpaka miaka 50
F**ck Chelshit you got no history
18 league titles, 5 UCL that what we call history.
 
Mkuu usicheke!
Kichekesho Kipo hapa Chini 😀😀



Yani Hata yule Goal Machine Mtaalamu Thiery Hanrry hakuwa na Uhakika waKufikisha goli 35+ then Kiboyaboya tu aje Afike Bajaji ya Udongo Hazadina 😀😀
MEZA YA MAKUMBUSHO:
Tokea August 2015 [Premier League]

Riyad Mahrez:
40 Magoli
27 assists
1 EPL

Eden Hazard:
39 Magoli
19 assists
1 EPL

Tunakumbushana tu msiogope
 
hili Sarri kalijibu mara nyingi kwamba kwa mfumo wake KAMWE hatamchezesha Kante mido ya Kati. kwa style ya mpira anaofundisha ni either Joginho ama Fab. upo kiongozi?
Nipo kaka

Na hilo ndio kaburi lake kiongozi
 
Sarri on beating Guardiola's City: "I don't know, against Guardiola I lost every match, you have to ask someone else." #CFC #MCFC
Kwa hii kauli nimemshangaa sana Sarri, kama kiongozi, kama kocha unakiri vipi tena hadharani kwamba huwezi kumfunga opponent wako? Ni motivation gani unayowapa wachezaji wako, kama si kuwakatisha tamaa kwamba hawawezi kumshinda City hata siku moja?

Tena amesema kabisa mara zote 3 walizokutana Guardiola amemfunga, hivyo hajui ni namna gani atamfunga City. Eti ni namna gani atamfunga City waulizwe wengine lakini si yeye.

Dah, ningekuwa shabiki wa Chelsea ningekuwa disappointed sana. Yaani kocha amekubali kufungwa kabla ya mechi haijachezwa
 
Najua Mashabiki wengi Wa Liverpool wanataka Chelsea leo ishinde!

But Fanboys Wa Chelshit wana Kidomodomo sana Kwahiyo Bora Leo Mupigwe Nyingi tu.

Natumai Leo Nitashiriki Katika Msiba hapa
 
Najua Mashabiki wengi Wa Liverpool wanataka Chelsea leo ishinde!

But Fanboys Wa Chelshit wana Kidomodomo sana Kwahiyo Bora Leo Mupigwe Nyingi tu.

Natumai Leo Nitashiriki Katika Msiba hapa

Mimi natamani Chelsea ashinde atleast kubalance games, maana inavyoonekana City kashindikana kabisa.

Halafu Chelsea hata akishinda hanipi wasiwasi kwamba atanifikia, kajichokea.
 
Najua Mashabiki wengi Wa Liverpool wanataka Chelsea leo ishinde!

But Fanboys Wa Chelshit wana Kidomodomo sana Kwahiyo Bora Leo Mupigwe Nyingi tu.

Natumai Leo Nitashiriki Katika Msiba hapa
Afadhali tupigwe tutakosa wote mwakani Sisi tunajiimarisha tunachukua epl, hatuwezi kukaa miaka minne bila kubeba epl ila wewe uendelee kusubiri meli airport ,nasema tupigwe tukose wote epl currently ni ya City na Chelsea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom