Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa hii line up sijui , nitakata tuanze na false number 9 kitu ambacho kocha amekifanya Ila tatizo ninaloliona hapa ni Alonso, this guy is too slow kumkaba Rahim, cha ajabu zaidi hata Kocha juzi kwenye press conference alizungumzia Ila bado kampanga na Leo, sijamuelewa
Alonso ki ukwel hamna saiv haf kocha nae kamng'ang'nia km dem wake daah ngoja tusbri
 
Kwa hii kauli nimemshangaa sana Sarri, kama kiongozi, kama kocha unakiri vipi tena hadharani kwamba huwezi kumfunga opponent wako? Ni motivation gani unayowapa wachezaji wako, kama si kuwakatisha tamaa kwamba hawawezi kumshinda City hata siku moja?

Tena amesema kabisa mara zote 3 walizokutana Guardiola amemfunga, hivyo hajui ni namna gani atamfunga City. Eti ni namna gani atamfunga City waulizwe wengine lakini si yeye.

Dah, ningekuwa shabiki wa Chelsea ningekuwa disappointed sana. Yaani kocha amekubali kufungwa kabla ya mechi haijachezwa
Hujui chochote kuhusu mind game ya Sarri ww.
 
Nakumbusha tu! Tayari Timu za Top Zeshakamilika!
Arsenal leo amewashusha rasmi kutoka Top 4...
Na sidhani Kama mutaweza Kumshusha tena (Probability)...
Now Eorpa next season inawasubiri tena...

Leo Mupigwe tu

Nafasi yeni Ni ya 5 msimu huu
 
So far navyoona kufunga goli hapa Chelsea watahitaji a set piece.
 
Chelsea Hii mechi inahitaji Number 9 na sio False 9 kama anavyofanya Sarri
 
Chelshit mtafungwa tu. Ni suala la muda. Acheni kujiangusha
 
Come on Chelsea!!!! For the obvious reason. Nitawaambia endapo Chelsea wakishinda. Unaweza kuotea..
 
Huu Ndiyo Ujinga Wa Man City Wataanza Kwa Fujo ukiwazuia dakika 20 za Mwanzo tu Hayana tens Miundombinu Ndiyomana Yakawa Yanafungwa na Klopp Kijinga 😡😡
 
Come on Chelsea!!!! For the obvious reason. Nitawaambia endapo Chelsea wakishinda. Unaweza kuotea..

Mkuu Wewe ni Arsenal unamuombea Chelsea ushindi wakati unataka Kumshusha kwenye Table?

Au hutaki Unbeaten record yenu ivunjwe na Man City?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom