Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa kweli Washabiki Wa Mpira (Nikiwemo Mimi) tunapenda sana Kushambulia Wachezaji Wanapoboronga!

Kama Leo Kupangwa Kwa Willian Washabiki Wameshambulia Sana, Lakini Hakuna lisilofaa Kwani goli alilogunga Kante Kabla ya Hazard Kuassist, Ni Willian ndiye Aliyekimbiza Mpira kutokea Kati Mpaka Ukamfika Hazard.
 
Mara zote kipindi cha kwanza tunacheza vizuri cha pili vituko vikianza naishiwa pumzi
 
Asante jirani kwa marekebisho naona leo upo na sisi huku unajifanya kuumia ujinga wa man city
Huu Ndiyo Ujinga Wa Man City Wataanza Kwa Fujo ukiwazuia dakika 20 za Mwanzo tu Hayana tens Miundombinu Ndiyomana Yakawa Yanafungwa na Klopp Kijinga 😡😡
 
Yamemkuta huku mwanamke mzuri, mashauzi aliyekuwa analinga na bikra yake leo katolewa bikra na chizi
 
Mkuu Wewe ni Arsenal unamuombea Chelsea ushindi wakati unataka Kumshusha kwenye Table?

Au hutaki Unbeaten record yenu ivunjwe na Man City?
Liverpool nao wataanguka soon. Sina hofu na hilo. Another invincible team itakuwa baada ya msimu huu.
 
Chelsea bhana! 😀😀 Unapigwa na Francis Cheka then Unakwenda Kumpiga Kwa Knockout Antony Joshua 😀😀

Unapigwa na Wolves then Unakwenda Kumpiga Man City Kwa Clean sheet 😀😀
 
Liverpool nao wataanguka soon. Sina hofu na hilo. Another invincible team itakuwa baada ya msimu huu.

Tatizo lenu sisi tukiwatajia Past events munatwambia Tunataja Historia!

Lakini nyinyi Mukotayari Kutaja Past events zetu kuwa Tuliongiza ligi tukakosa ubingwa!

Mimi sizungumzii Kuchukua Ubingwa! Lakini Kwenye Nafasi ya pili sianguki nikaja ya 3.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom