Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa kweli Washabiki Wa Mpira (Nikiwemo Mimi) tunapenda sana Kushambulia Wachezaji Wanapoboronga!

Kama Leo Kupangwa Kwa Willian Washabiki Wameshambulia Sana, Lakini Hakuna lisilofaa Kwani goli alilogunga Kante Kabla ya Hazard Kuassist, Ni Willian ndiye Aliyekimbiza Mpira kutokea Kati Mpaka Ukamfika Hazard.
Move imeanza kwa luiz... then pedro ndo wilian....... acha kudanganya
 
At least mumeresist kushushwa na Arsenal but we are leading the race
 
Mootoooooooio
chelseafc-20181208-0001.jpeg
 
CONGRATULATIONS CONGRATULATIONS The Blue mmestahili ushindi.
 
City alikuwa kama demu wa geti kali ni kumlia timing tu gafla anastuka mhuni kashamti viwili
 
City alikuwa kama demu wa geti kali ni kumlia timing tu gafla anastuka mhuni kashamti viwili

Sarri inaonesha Kaangalia records za games za Liverpool vs City akagundua Kuwa Klopp Humuachia Man City dakika 30 za mwanzo acheze Mpira then Anaenda Kumfunga.

Na hii ndiyo sifa ya Kumfunga Man City! Umzuwie dakika 30 za mwanzo tu! Ukifanikiwa Kumzui dakika 30 za mwanzo basi hakufungi tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom