Ooops! Tha was cheap penalty to be honest.
2-1 kwa Chelsea, dk 80
inabidi mshambulie ili msiconcede.Phew! Yuri anapiga mwamba, naona tunawashambulia sana Manure kwa sasa.
Sure....hasa ukichukulia madhambi ambayo Rooney keshafanyiwa......But kwa kufuata sheria its a Penalty......and hence its a GOAL........
its all over hongereni watani...i guess the dubious cancellation of the game paid off.
Mambo hayo! Yehuuuuuuuuu!
its all over hongereni watani...i guess the dubious cancellation of the game paid off.
Mate ungekuwa karibu yangu leo ungetambaa!
Hongereni sana Wapenzi wote na mashabiki Chelsick...mnajua fika kwanini sisi wa kule Gunners tunaufurahia ushindi wenu.
Mhhhhh! Kutambaa tena mkuu!? hahahahahaha kivipi? LOL!
hahaha arsenal bila rvp kufunga magoli hawawezi. . Leyton orient wameambiwa wakishinda wanapelekwa las vegas. Ebanae hongera naona kama kawaa atkinson to the rescue lol guess fa wanted to prove whelan wrong.Ashante mkuu. Kazi kwako ushindwe mwenyewe usijesema hatujakupa shavu....vipi kesho utatoka?