Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie hata aibu halioni ni Wivu tu.
For the record msimu huu EPL:
16th October Arsenal 2 - 2 Birmingham
20th November Birmingham 1 - 0 Chelsick
1st Jan Birmingham 0 - 3 Arsenal
Chacha ni aje?
BTW ni lini Chelsick wameanza kuchukua hata kikombe cha chai? Hii inaonyesha wazi unazi wako kwa Chelsick ni wa mashaka kwa sababu katika ujana wako wote ilikuwa ni machungu tu based on the fact that hamna hata 6 years kwenye ushindi na hapo nimekupendelea
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Chacha najua kwa nini unawahara Birmingham
Walikufanya Vibaya Mwaya walikuumiza weye ..... babake
Birmingham 1 - 0 Chelsick20.11.2010
Debut ya muuza unga uliwaua Chelsick kule Birmingham