Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

From ...... ...... ....

Chelsea-Minute-s-Silence-Stamford-Bridge-Prem_2382385.jpg

To ..... ..... ....

article-1358967-0D455AF7000005DC-655_634x354.jpg

Na bado mwaka huu mtakoma ubishi

khe he kheeeeeeeeeeeeeeee

Nilisikia jana mlianza kuruka ruka kama chura ati Gunners wamefungwa thubutu! Tulipumnzisha tu mastaa.
 
Elnino karibu sana mkuu vipi matanga yanaendeleaje? Vipi Bundi amegoma kabisa au ndio safari ya Denmark ameghairi?

Acheni Lotte ana kazi kubwa pengine niwakumbushe baadhi ya wanazi ambao hawajui kazi ya assistant Coach i.e. kwa Chelsick ni yule muuza unga kutoka Nigeria wanamwita Amanolo kama sikosei Peasant anaweza kusahihisha hili .... ..... khe khe kheeeeeeeeeee I doubt!. Kazi yake ni kukifundisha kikosi cxha kwanza jinsi mpira unavyochezwa na kuwapa maarifa ya hapa na pale na ndiye yupo na wachezaji kwa muda mrefu wanapokuwa mazoezini. Manager yaani Acheni Lotte yeye ni kuangalia timu inapokuja kwenye mpambano na kuamua ni formation gani itumike na kusoma maendeleo ya mchezo na kubadili formation as necesary kutokana na kuwaangalia upinzani uwezo na wachezaji wake.

Sasa kilichowaua mafioso ni kumfukuza Wilks ambaye ndiye engine ya club maana yeye ndiye anakaa na wachezaji muda mrefu na anatakiwa kujua kila matatizo yao in and out. Amanolo knows nothing about that zaidi ya kuuza unga, yeye anategemea nguvu za Abraham O Vich ili apete. Sioni Chelsick kufufuka hadi pale mafioso mkuu atakapoamua timu yenu kurudishwa kwa wataalm yaani assistant Coach anayeweza kazi yake bila kumtumia sana manager wake. Bundi haondoki hapo hadi mkubali ukweli huo .... .... ... yes mtashinda hapa na pale lakini kazi mnayo.

Nawatakia kila la kheri kwa mechi zilizobaki lakini wajemeni niliwaambia EPL sio cha ndimu ona chacha Invisible, Mungiki brother, AljuniorTZ, bacha, Mzozo wa Mizozo, sanda matuta mwanzilishi wa hiki kijiwe, Rev kishoka, Yoyo, sajenti, St RR etc etc wote wameunyuti ..... .... .... its just a game guys come back mkubali kushindwa na mbadilike msiwe kama mafioso.

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Huyo St RR naomba nimtetee...Ni mnazi mwenzangu wa Manure ambaye katika siku za hivi karibuni anashinda zaidi hapa; Mahusiano, mapenzi, urafiki. Sijui anatafuta mchumba au lah
.

From ...... ...... ....

Chelsea-Minute-s-Silence-Stamford-Bridge-Prem_2382385.jpg

To ..... ..... ....

article-1358967-0D455AF7000005DC-655_634x354.jpg

Na bado mwaka huu mtakoma ubishi

khe he kheeeeeeeeeeeeeeee

Nilisikia jana mlianza kuruka ruka kama chura ati Gunners wamefungwa thubutu! Tulipumnzisha tu mastaa.

Hahahahahaha! apo nimekukubali Wacha Boy...umeunganisha matukio ya picha safi sana....:clap2::clap2::clap2:
 
From ...... ...... ....

Chelsea-Minute-s-Silence-Stamford-Bridge-Prem_2382385.jpg

To ..... ..... ....
article-1358967-0D455AF7000005DC-655_634x354.jpg

Na bado mwaka huu mtakoma ubishi
khe he kheeeeeeeeeeeeeeee

Nilisikia jana mlianza kuruka ruka kama chura ati Gunners wamefungwa thubutu! Tulipumnzisha tu mastaa.

...ha ha haaa....this is el classico! ...Chel-Sick-Rest-In-Peace!!!
 
It pains a lot to loose direction from good start we had at the beginning of the season but still I have good dreams..
 
...ha ha haaa....this is el classico! ...Chel-Sick-Rest-In-Peace!!!
Ndoto za mchana za Carlo Ancelotti sometimes ni kama za Arsène Charles Ernest Wenger:
CARLO ANCELOTTI came out swinging last night and declared: "Chelsea are not dead."
"Chelsea has not died, it is still alive. This could be the best season that the club has ever had in its memory or maybe it could be the worst.
"I have managed in these situations many times. I should remind you that it was the same for me at Milan in 2007. And ask the Italians what happened in that year."
It was in 2007, of course, that AC Milan beat Liverpool in the Champions League final in Athens.
"Our aim now is to try to win the Champions League and to finish in the top four in the Premier League.
 
Ehh! sikujua EPL title amesha surrender, watu wazungumzia treble, yy CL tu?
 
Invisible, Mungiki brother, AljuniorTZ, bacha, Mzozo wa Mizozo, sanda matuta mwanzilishi wa hiki kijiwe, Rev kishoka, Yoyo, sajenti, St RR etc etc wote wameunyuti ..... .... .... its just a game guys come back mkubali kushindwa na mbadilike msiwe kama mafioso.

Duh.....hahahaaaaa.....hebu fanya kuniomba radhi.......umenidhalilisha sana.....
 
Duh.....hahahaaaaa.....hebu fanya kuniomba radhi.......umenidhalilisha sana.....

Afu na hyo Avatar yako si ina BUNDI?, ukute ww double agent (Manure na Chelski), fanya kubadili basi.
 
Torres returns to Chelsea's starting line-up tonight after missing the FA Cup defeat by Everton, with Didier Drogba set to be back on the bench.
 
Ehh! sikujua EPL title amesha surrender, watu wazungumzia treble, yy CL tu?
Terry is struggling to comprehend the prospect of Chelsea not being in next season's Champions League and ESPNsoccernet revealed on Monday that former Blues caretaker Guus Hiddink is in the frame to take over next season should Ancelotti not rescue something from this campaign.
Captain Terry revealed he is losing sleep over the prospect of Tottenham and Manchester City finishing above his side.
He added: "That's what we've still got at the football club, hunger and desire. We missed out on the Premier League for three years when Man United won it, and it hurt. That's what I lose sleep over, watching other teams lift trophies, because I want to be the one lifting trophies for this football club.''
 
Duh.....hahahaaaaa.....hebu fanya kuniomba radhi.......umenidhalilisha sana.....

Vipi umeamua kumfukuza bundi wakati bado unamlea? khe khe kheeeeeeeee mbona umeadimika mkuu mitaa hii? Au ndio double standards zenyewe?

Haya ngoja tuone ancelotti atafanya nini leo nao anajitetea tumjudge mwisho wa msimu maana anafananisha CHELSICK na AC MILAN.......kazi kwelikweli yaani ubishi kama Gaddafi.
Ingawa kuna wazee wa darajani wasema timu itafufuka na TORRES old trafford haya karibuni THEATRE OF DREAMS............
 
...hamtaki kushangilia sio? "huyu mgonjwa mbishi sana kunywa uji, tutawalisha kwa mirija sasa!"

t569.png
KØBENHAVN 0 - 2 CHELSEA

lesulk_1832571c.jpg

Clinical: Nicolas Anelka finds the net for Chelsea after just 17 mins

😛ray:😛ray:😛ray:....ewe mwenyezi mungu, ---"bsbsbbsbbbssss" ...Ameen!

53rd minute, Anelka scores the 2nd Goal.
 
...eeeh? Torres kwa mara nyingine tena amekuwa substituted.
It's been a while now, fans are waiting for his 1st "£50m" Chel-sick Goal

images

Hongereni watani,...bundi alinyimwa visa ya kuingia Denmark,
lakini ametuhakikishia Game ijayo atakuwa nayi kama kawaida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom