Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe Coward wivu wa kucheza finally ya Carling cup?

Hahahaha,Chief, you've just hit a nerve! Huyo coward utamwona leo ananing'inia hapa jamvini lakini Arsenal wakicheza anaingia mitini, hawezi kusimama kiume kama wenzie, mwoga kama fisadi Kikwete, they both can't face people.
 
Fisadi Wacha1 ni zaidi ya Mkwere kwa unafiki na cowardliness kwenye soka.
 
You should tell that to your fellow supporters and fans at Chelsick ... .... .... . .no wonder you've disappeared.

Objectively on whose perspective? A maggot?

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Arsenal will be without Robin van Persie and Theo Walcott for their Champions League last-16 second leg match at Barcelona on 8 March.
 
Walete walete walete...I hope hawa Chelsick hawataniharibia siku lakini tayari wameshafanya makosa kwa kumuanzisha yule mviziaji wa magoli toka L'pool badala ya Drogba.

YouTube - Pepe Kalle - Roger Milla
 
Hahahaha,Chief, you've just hit a nerve! Huyo coward utamwona leo ananing'inia hapa jamvini lakini Arsenal wakicheza anaingia mitini, hawezi kusimama kiume kama wenzie, mwoga kama fisadi Kikwete, they both can't face people.

Khe khe kheeeeeeeeeeee kuna amri moja mpya ya kuingia JF lazima uwaridhishe Coward Peasant na Rev. Bandia Masanilo.

Fisadi Wacha1 ni zaidi ya Mkwere kwa unafiki na cowardliness kwenye soka.

Khe khe kheeeeeeeee lazima mtafute sympathy kutoka JF members khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee safi sana. Na leo mkifungwa mtakuwa point 11 nyuma ya watemi wenu Arsenal khe khe kheeeeeeeeeeeeeee

Hahahahaha! halafu jamaa nae ni wale wazee wa matamko nini? Mbona hawezi kujieleza vizuri?

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee good stuff.

Arsenal will be without Robin van Persie and Theo Walcott for their Champions League last-16 second leg match at Barcelona on 8 March.

Arsenal have got a lot of players to cover for any eventualities. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Wakuu vidonge na dawa ninazo wapa zinafanya kazi vizuri nitaongeza dozi kidogo maana naona mambo mswano.

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Coward Peasant

Hivi point 11 ni mechi ngapi?

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Vikosi vya leo

Chelsea: Cech, Ivanovic, David Luiz, Terry, Cole, Essien, Lampard, Ramires, Anelka, Torres, Malouda.
Subs: Turnbull, Drogba, Mikel, Bosingwa, Zhirkov, Kalou, McEachran

Man Utd: Van der Sar, O'Shea, Smalling, Vidic, Evra, Fletcher, Carrick, Scholes, Nani, Hernandez, Rooney.
Subs: Kuszczak, Brown, Berbatov, Giggs, Fabio Da Silva, Rafael Da Silva, Gibson.

Come on you Blues!
KTBFFH
 
Ngoja nitulie mahali ili kufuatilia mchapo huu nitarudi HT nadhani wakati huo Chelsick watakuwa tayari wako mbele 2-0.
 
Nona Pound mil 50 inalizimishwa kuzaa matunda lol. Drogba ghafla akawa hafai lol.

Wote wawili wako kwenye form mbaya, hivyo ni bora kumchezesha Torres azoeane na wenzie....after all wote ni wachezaji wa Chelsea hivyo no big deal.
 
Yule Drogba ni bora aingie haraka sana kabla hali haijawa mbaya zaidi. Poleni wakuu.
 
Suddenly naona mashabiki wa arsenal wa interest na hii game lol... The game is still wide open and I think the midfield will be the key to win this game.
 
Wakati huo huo everton 0 - 1 Reading ht.
Fellow man utd kipindi cha pili nitakikosa kwa sababu ya majukumu all the best.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom