c
![]()
...Nice One!
Hayo ni maneno ya mkosaji ARSENAL mkisema hivyo BARCELONA wafanyaje vikombe vyote wanachukua spain.......
And if so why does your players apologizing to the fans............uzuri wa mpira magoli.
c
![]()
...Nice One!
Aombe radhi tu hiyo ni tabia mbaya. Lakini hawezi kwa sababu ndiyo kazi yake hapa JF.
c
Hayo ni maneno ya mkosaji ARSENAL mkisema hivyo BARCELONA wafanyaje vikombe vyote wanachukua spain.......
And if so why does your players apologizing to the fans............uzuri wa mpira magoli.
RIP Chelsick .... ..... .....
Nakwambia kesho ipo kazi sasa sijui wamempa urefa nani? Maana wote ni wahongaji wakubwa na kama unavyofahamu ukitaka uchukue EPL lazima kwanza uwafunge hawa wanoko wawili halafu uwafunge Sky sports na media nzima then refa pamoja na FA chacha kuna watu wanafikiri mpira unapochezwa pale uwanjani ni lelemama, lakini mwaka huu tumewashika vibaya kitaeleweka tu. Matokeo ya kesho kwetu ni mazuri tu whichever way.
BTW Kudos Thanks button back.
Obafemi Martins anawatafuta toka jumapili awape embe dodo hamuonekani.
![]()
...Nice One!
Peasant na Padre Masa
Kuna msiba badae darajani kwenu, save ur energy kwa ajili ya kilio. Achaneni wth these bad loosers ArseNOOls ambao ni wabishi kama wakinga wa Makete.
![]()
-"The mistake was that the gun was here in Cobham. We didn't know the gun was here."-
-ACHENI LOTE.
RVP nje three weeeks....tik tak tik tak tik tak!.....
pigo kubwa sana kwetu hili, nilikuwa naisubiri sana ripoti yake baada kuiona nguvu zote zimeniishia. AW inabidi sasa hawape darasa wakina Chamakh wa step up game yao kipindi hiki cha lala salama.