Questt
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 3,010
- 422
hii game Chelsea wanahitaji kubadilika ili angalau waambulie hata draw....Elnino hakuna kitu kabisa pale mbele...bora atoke aingie Drogba....then tangu lini A. coleameanza kupiga free kicks kama zile??? ni upotezaji wa nafasi ambazo zinaweza kuleta magoli......Anyway dk. 45 zitaamua....