Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

NOTIFICATION;



THIS THREAD HAS BEEN ABANDONED BY THE OWNERS
:blah::blah::blah:








Hongereni Ze Bluzi.
 

...eeeh? Torres kwa mara nyingine tena amekuwa substituted.
It's been a while now, fans are waiting for his 1st "£50m" Chel-sick Goal

images


Hongereni watani,...bundi alinyimwa visa ya kuingia Denmark,
lakini ametuhakikishia Game ijayo atakuwa nayi kama kawaida.


Usijali, tutamtuma aje Emirates ajifunze kufunga kutoka kwa van Pussy.
 

...former ARSENAL striker rescues Chelsea, again!


article-1359603-0D50AA92000005DC-638_634x422.jpg


Match-winner: Nicolas Anelka's fine finishing powered Chelsea to victory over Copenhagen


 
...eeeh? Torres kwa mara nyingine tena amekuwa substituted.
It's been a while now, fans are waiting for his 1st "£50m" Chel-sick Goal

images

Hongereni watani,...bundi alinyimwa visa ya kuingia Denmark,
lakini ametuhakikishia Game ijayo atakuwa nayi kama kawaida.




LIVE-1_1257293a.jpg




Hongereni sana Chelsick mafioso team nasikia baada ya kunyimwa VISA

Bundi ilibidi aishie Blackpool kuwasalimia Spurs

... ... Hawa wadenishi nao hata VISA za mgao ..... ..... ....

naona wanaogopa mambo ya wikileaks.
 
Congrats to the scums.... congrats to torres for his first win at the club,

Ntaondoa avatar baada ya yeye kufunga, daym!
 
Vipi umeamua kumfukuza bundi wakati bado unamlea? khe khe kheeeeeeeee mbona umeadimika mkuu mitaa hii? Au ndio double standards zenyewe?


Bundi alikua wa chelsick....ila wamechomoa....namtoa leo......nampeleka ufaransa....kwa wafaransa!
 
Peasant naona gundu limeondoka mweeh🙂 sala za mchungaji zimewaokoa!! Hongereni
 
2ChelseaVCopenhagen_417x600.jpg



Yellow peril: Tor the Res was booked on his

Champions League bow for Chelsea
 
2ChelseaVCopenhagen_417x600.jpg



Yellow peril: Tor the Res was booked on his

Champions League bow for Chelsea
Wacha one wacha waone wenyewe.

"The only thing that was missing from his performance was a goal".(Terry)

"Torres is doing better game by game and even though he hasn't scored, I'm very happy he's making good combinations. He'll score in his next game."(under-pressure Ancelotti )
 
Norman Hubbard argues that history suggests Chelsea are now approaching the end of an era.

Here are reasons to believe Chelsea are in decline, whether the age of their squad or their faltering form of late, but perhaps the greatest factor for believing that the greatest spell is nearing an end is simpler: history.
Put simply, only two English clubs have ever managed to extend excellence without interruption: Manchester United for the past two decades and Liverpool for the two before then. (soccernet.espn.go.com)
 
article-1361033-0D60D65C000005DC-645_468x168.jpg


The weapon: A .22 air rifle gun like the one Cole

is believed to have shot Tom with


Jamani mbona mnataka kumaliza msimu kwa vituko?


Khe khe khek kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Binafsi kama fan no.1 wa The Blues sikuafiki coach kumtoa kwa Mkopo D sturadge kwenda Bolton nakweli khali inajidhiirisha yale maamuzi hayakuwa sahihi,kapiga game 4 na ka score mara4 tena magoli muhimu kwa timu.
 
yani chesi wana bundi aisee... Ashley kapiga ntu bunduki, wameanza matanga ya sturridge

i hope mwezi wa toba ukija mtaokoka
 
article-1361033-0D60D65C000005DC-645_468x168.jpg





The weapon: A .22 air rifle gun like the one Cole

is believed to have shot Tom with


Jamani mbona mnataka kumaliza msimu kwa vituko?



Khe khe khek kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee




ss-ashley_1260435a.jpg


Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Angemtungua tajiri wake yule ni mafioso number moja ... ... JT alikuwa kwenye kuuza unga... ... Lamps wizi madukani Cash Cole kaboreka mama kamkimbia lililobaki ni shooting opportunities ... .
 
article-1361033-0D60D65C000005DC-645_468x168.jpg



The weapon: A .22 air rifle gun like the one Cole

is believed to have shot Tom with


Jamani mbona mnataka kumaliza msimu kwa vituko?


Khe khe khek kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

...aaha ha ha haa! huyu dogo inafaa akapimwe akili sasa, Bunduki ya nini kwenye mazoezi ya mpira?

ashley_top_233386a.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom