Chelsea wameshaandaa mkataba mpya anaweza kusaini ngoja Tusubiri
Lakini usisahau kilichokuwa kinampeleka madrid ni zinedin zidane tu
I think atasain mkataba mpya wacha tumpe pesa anayolipwa Sanchez bure pale man united
Mheshimiwa diwani bhana....Yaani kabisa kabisa,mnakaa kwenye TV zenu mnajipa moyo kuwa Liverpool kamili anapoteza kwa Chelsea hii?
Jamani tupunguze utani!
Chelsea ni team nzuri sana na Sarriball ni bonge ya kocha lkn bado anajenga team
Ataleta mtu mmoja imara pale kati ili Rudiger na Luiz wawe wanabadirishana wao kwa wao sio kuanza wote
Mwaka huu ni Liverpool au Man City
Mwakani ndiyo nyie na Arsenal na kumfukuzia mbali kabisa Spurs
Mjadala leo humu nauona wakiuchambuzi zaid, Malafyale, Eden, South nani sijui na king Ngwaba, safi sana, ushabiki mmeweka pembeni kidogoFaby ni mzuri kuliko Barkley lkn faby hana nguvu ya kupambana na watukutu kina Henderson, Wijnaldum na Milner.
Ata Huyo Jorginho hana huo ubavu ata Kova hana. Ni Kante tu ndio alikua anawaweza.
ila kusema Henderson ni mtundu hapo umekosea, jana katuvurugia sana ushindi, hakupaswa kucheza jana.Hazard ni moja ya wachezaji wasio na wenge linapokuja suala la kutakiwa na timu kama Madrid au Barca ..hana zile mambo za kufosi kuondoka...Chelsea wameshaandaa mkataba mpya anaweza kusaini ngoja Tusubiri
Lakini usisahau kilichokuwa kinampeleka madrid ni zinedin zidane tu
I think atasain mkataba mpya wacha tumpe pesa anayolipwa Sanchez bure pale man united
Katika game zitakazokua ngumu ni hii. Kwa sababu anawajua wachezaji na utamaduni wetu. Tusubiri muda useme
Kila Mchezaji Ana Peak Yake ambayo Ndiyo Msimu Mzuri Zaidi Kwake..
Nadhani Msimu Huu Hazard Ndiyo Amefika Katika Peak Yake na Ndiyo Msimu Bora Zaidi Kwake Kama ilivyokuwa Kwa Modric, Salah na De Bruyne 2017/18 au Kwa Dybala (Sina Uhakika na Spelling) 2016/17.
Kilichobakia Ni Mkataba tu Sasa ndiyo issue ambayo anaipotezea Kistar kabisa.
Kubahatisha tu unaongea sana na nikwambie ndio ilikuwa Salama yenu mngeruhusu tumiliki kama kawaida yetu mngekufa mbili safi kabisa
Yaani kabisa kabisa,mnakaa kwenye TV zenu mnajipa moyo kuwa Liverpool kamili anapoteza kwa Chelsea hii?
Jamani tupunguze utani!
Chelsea ni team nzuri sana na Sarriball ni bonge ya kocha lkn bado anajenga team
Ataleta mtu mmoja imara pale kati ili Rudiger na Luiz wawe wanabadirishana wao kwa wao sio kuanza wote
Mwaka huu ni Liverpool au Man City
Mwakani ndiyo nyie na Arsenal na kumfukuzia mbali kabisa Spurs
Uwezo mnao ila points tatu zikawashinda?! Labda tafsiri ya neno 'uwezo' imebadilika siku hizi!hatushabikii ushindi tunajilaumu kukosa kuchukua points 3 zote hapo kwenu wkt uwezo tunao.
Mtajitahidi tu lkn team yenu bado kidogo kakaNaomba December mwishoni au January mwakani uje tena kufafanua
giroud ni straiker mzuri tu wala sina shaka naeGiroud na Morata kazi ipo
yap jamaa tupo pamoja, hata mimi nimeangalia nimeona sub tulizofanya zilitugharimu,lakini sio case!Na hii ndiyo changamoto kubwa. Tunahitaji striker wa maana atakayeweza kuforce mashambulizi.
Halafu pia substitution inabidi aziangalie sana. Kwa game ya jana mi nilidhani anapotoka Kova angeingia Fab nadhani ingeweza kusaidia katika umiliki wa mpira. Kaingia Barkley ndio akapotezwa kabisa.
pamoja sana boss..Miongoni Mwa Kosa Kubwa Sana Alilofanya Sarri Jana Ni Kumtoa Kovacic akamwingiza Barkley... Kovacic Ameshacheza CL kwahiyo anaexperience ya Kucheza Mechi Kubwa...
Sasa Game Kama Ya Jana Si Yakina Barkley ambao Ni Amateur kwa Mechi Kama Hizi.
Kwahiyo nyie leo mnakili hamumiliki mpira?? Rafiki yangu unajidanganya kudai Liverpool iko kwenye progress, ifikirie Liverpool ya Brendan Rogers imerithiwa na Klopp nzimanzima..!Na Jengine Mkuu Mentor iangalieni tena Sarriball yenu..
Kwama Wewe Ni Mshabiki Wa Chelsea tu basi Leo Ni sawa!!!
Lakini Kama wewe Ni Mshabiki Wa Mpira Kabla Ya Chelsea basi kuna Weakness Kubwa Sana Katika Mfumo Wenu na Stats Zinaonesha Kuwa Leo Haukufunction Klopp Kafanikiwa Kuutibua..
Sasa Liverpool si timu inayopress Marahii na imefanikiwa Kuudhibiti Sarriball, sasa Siku Mutakayokutana na Timu inayomiliki (Press) Mpira sijui itakuwaje!!!
Kwahiyo nyie leo mnakili hamumiliki mpira?? Rafiki yangu unajidanganya kudai Liverpool iko kwenye progress, ifikirie Liverpool ya Brendan Rogers imerithiwa na Klopp nzimanzima..!
Chelsea only two months Sarriball has managed to change at that rate, Liverpool zaidi ya miaka 8 mnajijenga philosophy ileile na bado mko hivi what if Chelsea itamaliza at misimu miwili na Sarriball?
Nilicho hisi utakuwa vivu la kusoma maandishi..!Wewe si Mshabiki Wa Mpira Bali Ni Mshabiki Wa Chelsea tu Ndiyomana Hata Contents Za Kimpira Kwa Nilichokiandika Zimekushinda Kuzifahamu that is why umereply kitu tofauti na Nilichokiandika...
By the way Ni Kweli Klopp Amerithi Timu Nzimanzima Kutoka Kwa Brendan Rodgers.. Kwahili Nakukubalia Na Wala Sikupingi Upo Sahihi Asilimia 100%. Tena Ninakitaja Hasa Kikosi Hichi Tulichonacho Ambacho Klopp Amekirithi Kizimakizima Kutoka Kwa Rodgers.
Alison
Trent
Gomez
VVD
Robertson
Gini
Milner
Keita
Mane
Salah
Xhaqiri
Fabinho
Hao Wote Klopp Kawarithi Kutoka Kwa Rodgers.
Na Ninakukubalia Kwa Asilimia 100% Kuwa Sarri Hakukuta Kikosi cha Mchezaji Hata Mmoja Chelsea.. Kwahiyo Wachezaji Wote Alionao Kawakusanya Ndani Ya Miezi Miwili Akaanzisha Timu.
Kwahiyo Sarri Tokea Aanzishe Timu Kwasasa ina miezi Miwili. Nakiri Hadharani Kusema Chelsea is the Most Youngest Team in the World.
Na Ninakutajia Wachezaji Aliowakusanya Sarri na Kuwasajili Ndani Ya Miezi Miwili.
Azip
Luis
Cahill
Rudi
Alonso
Kante
Fabi
Hazard
Barkley
Willian
Guru
Mora
Moz
Hicho Ndiyo Kikosi Chako Kilichoanzishwa Ndani Ya Miezi Miwili na Kufanya Maajabu.
You are Right bro!
Nadhani Ungelitafuta Washabiki Wa Timu Kama Wewe Ukajibishana Nao Kwani Mimi Ninajibishana Na Washabiki Wa Mpira.
Have a nice day
Giroud wala sio mbovu, anachangamsha pale mbele, sio mfungaji mzuri lakini anaassists na anachangamsha mbele sio kama Morata yuko kikonokono mnoNi heri wamrudishe dider drogba kuliko Giroud na Morata hawa striker wawili ni wabovu mno