Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ni Kawaida Katika Mpira Unaboreka Sehemu Moja na Kuwa Weak Sehemu Nyengine...

Msimu Uliopita Foward Yetu ilikuwa Haishikiki lakini Kipa na Beki ilikuwa Mbovu balaa...

Msimu Huu Kipa na Beki Yetu Nzuri sana Lakini Forward imekuwa Butu manake Salah na Mane Wanakosa Goli tupu...

Kwahiyo Na Nyinyi Midfield Muko Vizuri lakini Forward butu.. Siku Forward ikiwa imara utakujakutia Midfield au Beki haitazamiki.

Hiyo ndiyo Soccer.
Daah ni changamoto sana mkuu. Ngoja ifike January tuone itakuaje. Nyie foward yenu sidhani kama ni butu kiivyo. Ni suala la muda tu Bobi na Salah wanarudisha moto wao
 
Mkuu Kwa Soko la sasa January Ukamnunue Mchezaji??? Yaani Hata Yule average Striker Kama Mitrovic Wa Fulham Utaambiwa Utoe £80m tens Saa ya Mwisho ya Deadline...
Sidhani Kama Kuna timu ipotayari Kuuza Mchezaji Wake January.
 
Jinsi ambavyo nimekasirika siamini washabiki wa Liver mlivyojaa humu.

Sasa sijui nani kafurahia draw kati yenu na sisi.

King Ngwaba, how have I lost to you? In two games, nimekufunga moja na draw moja. How is that a win to you unless today's draw was counted a win kwenu.

Malafyale, liverpool iliyokamilika ndiyo tuliyoipelekesha first half na kuifunga. Inashangaza ambapo leo Shaqiri na Sturridge mnawataja kama liverpool iliyokamilika.

Anyway, hongereni kwa ushindi kwa kweli.
 
Ulinifunga kwangu
Inakuaje ushindwe nifunga kwako?
Kaka hii ni EPL,bado hauna kikosi cha kunifunga mm kamili EPL
Lkn mwakani mtakuwa na team nzuri sana sio mwaka huu,hauna beki za kati
 
Nisaidie kuielewa hii logic yako;

How are you superior to a team iliyokufunga kwako (albeit ukiwa hujakamilika) na uka draw kwake (ukiwa umekamilika 110%)??!

Ninajua kuwa kuanzia January na msimu ujao tutakuwa zaidi ya mcharo maana sasa kocha anawaona wachezaji wake vyema.

Hongereni kwa kuwa na timu iliyokamilika. Unanifanya nitamani kuja jukwaani kwenu nione jinsi gani mnajipongeza aisee.
 
Jinsi ambavyo nimekasirika siamini washabiki wa Liver mlivyojaa humu.

Sasa sijui nani kafurahia draw kati yenu na sisi.

King Ngwaba, how have I lost to you? In two games, nimekufunga moja na draw moja. How is that a win to you unless today's draw was counted a win kwenu.

Malafyale, liverpool iliyokamilika ndiyo tuliyoipelekesha first half na kuifunga. Inashangaza ambapo leo Shaqiri na Sturridge mnawataja kama liverpool iliyokamilika.

Anyway, hongereni kwa ushindi kwa kweli.

Munafahamu Ukweli Lakini Munaupindisha Katika Kuzitafsiri Post Zetu.

Hapa Mantiki Ni One Point Away ndiyo inayotufanya Tuwe Happy kama Unavyotuhisi.

Siku zote, Miaka Yote, Kwa Timu Yoyote, Hata ingelikuwa sisi Kudraw Katika uwanja Wa Nyumbani Kunaumiza that is why I know how You feel bro...
Lakini Kwa Timu yoyote hile Hata Kama Ni Nyinyi Chelsea Kudraw Away na Kupata Point 1 kwa Hizi Top Six basi unakuwa umegain jambo la Kuwa ujiskie Happy.
Kwahiyo KinachoMatter Ni 1 point Away.

So, Jaribu Kuzungumza Kisoka Zaid na Si Kiushabiki.
 
Willian kakosa la wazi sana kacheza kipa wetu
Hazard katukosa la wazi sana kacheza kipa wetu
Mane kakos ala wazi sana dakika ya 57 kacheza kipa wao
Shaqir kakosa kuunganisha tu dakika ya 70
Boby kakosa la wazi sana dakika ya 73 kaokoa Luizi kwenye mstari
Liverpool tulistahili kushinda
Maneno ya Hazard baada ya mechi kuwa wapo very close kufikia quality ya Liverpool na Man City ni kweli!
Mwaani mtakuwa wazuri sana,mwaka huu mtarudi tu champion league kuchukua nafasi ya Man u
Mwaka huu mbio za ubingwa ni Liverpool na Man City
 
Narudia tena ,kama wewe ni shabiki wa Liverpool na uko hapa kushabikia "ushindi" wa timu yako YOU ARE RETARDED
 
hatushabikii ushindi tunajilaumu kukosa kuchukua points 3 zote hapo kwenu wkt uwezo tunao.
 
Willian kakosa la wazi sana kacheza kipa wetu
Hazard katukosa la wazi sana kacheza kipa wetu
Mane kakos ala wazi sana dakika ya 57 kacheza kipa wao
Shaqir kakosa kuunganisha tu dakika ya 70
Boby kakosa la wazi sana dakika ya 73 kaokoa Luizi kwenye mstari
Liverpool tulistahili kushinda
Maneno ya Hazard baada ya mechi kuwa wapo very close kufikia quality ya Liverpool na Man City ni kweli!
Mwaani mtakuwa wazuri sana,mwaka huu mtarudi tu champion league kuchukua nafasi ya Man u
Mwaka huu mbio za ubingwa ni Liverpool na Man City
Ungekuwa unaongea hivi ikiwa imeshafika December ningekuelewa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom