Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tar 7 Oct Liv vs Mancity, Che vs Southamptom
Hapo lazima mmoja au wote wadrop pointnyuma ya Chelsea

Na Hii Ndiyo Raha Ya Mpira Kwani Hapa Lazima Mmoja au Wote watadondosha Points Nyuma Ya Chelsea...

Na Kwa Upande Mwengine Wakikutana Chelsea vs Man City basi Lazina Mmoja au Wote Watadondosha Points Nyuma Ya Chelsea..

The same Kwa Jana Tulipokutana Chelsea vs Liverpool Sote Tumedondosha Points Nyuma Ya Man City.

Kwahiyo Mkuu Sisi Wajuzi Wa Soka Tunasema Hatuchekani Kwa Hili.

Ni Wale tu Haters na Wasiojua Mpira Ndiyo Huicheka Timu inapodondosha Points Kwa Timu Kubwa.
 
Na hii ndiyo changamoto kubwa. Tunahitaji striker wa maana atakayeweza kuforce mashambulizi.

Halafu pia substitution inabidi aziangalie sana. Kwa game ya jana mi nilidhani anapotoka Kova angeingia Fab nadhani ingeweza kusaidia katika umiliki wa mpira. Kaingia Barkley ndio akapotezwa kabisa.

Miongoni Mwa Kosa Kubwa Sana Alilofanya Sarri Jana Ni Kumtoa Kovacic akamwingiza Barkley... Kovacic Ameshacheza CL kwahiyo anaexperience ya Kucheza Mechi Kubwa...
Sasa Game Kama Ya Jana Si Yakina Barkley ambao Ni Amateur kwa Mechi Kama Hizi.
 
Miongoni Mwa Kosa Kubwa Sana Alilifanya Sarri Jana Ni Kumtoa Kovacic akamwingiza Barkley... Kovacic Ameshacheza CL kwahiyo anaexperience ya Kucheza Mechi Kubwa...
Sasa Game Kama Ya Jana Si Yakima Barkley ambao Ni Amateur kwa Mechi Kama Hizi.
Unachosema ni kweli. Ila mpaka uamuzi wa kumtoa Kova ni kwamba alikua ameshafunikwa kabisa. So option iliyokuwepo ilikua ni kumuingiza Fab badala yake kamuingiza Barkley ambaye hakwenda kufanya kufanya chochote.
 
6 - Eden Hazard has scored six goals from just eight shots on target so far in the Premier League this season. Pinpoint. #CHELIV OptaJoe on Twitter

View attachment 882015

Kila Mchezaji Ana Peak Yake ambayo Ndiyo Msimu Mzuri Zaidi Kwake..

Nadhani Msimu Huu Hazard Ndiyo Amefika Katika Peak Yake na Ndiyo Msimu Bora Zaidi Kwake Kama ilivyokuwa Kwa Modric, Salah na De Bruyne 2017/18 au Kwa Dybala (Sina Uhakika na Spelling) 2016/17.

Kilichobakia Ni Mkataba tu Sasa ndiyo issue ambayo anaipotezea Kistar kabisa.
 
Unachosema ni kweli. Ila mpaka uamuzi wa kumtoa Kova ni kwamba alikua ameshafunikwa kabisa. So option iliyokuwepo ilikua ni kumuingiza Fab badala yake kamuingiza Barkley ambaye hakwenda kufanya kufanya chochote.

Kwa Upande Wangu Nahisi Fabi Hana Msimu Mzuri marahii! Nadhani Muda Wa Kwenda Marekani Umewadia.
Jana Mechi Asingeliiweza.
Ukiangalia Kwa Makini Hata ile mechi Ya Juzi ya Carabao Fabi Hakuwa Vizuri.
Kiufupi Fabi Ameshamaliza Muda Wake ..
Na Hata Willian na Alonso ukiwapeleleza utawakutia Msimu huu Sio Mzuri Kwao.

Bali Rudiger na Hazard Wako Vizuri Msimu huu.
 
Willian kakosa la wazi sana kacheza kipa wetu
Hazard katukosa la wazi sana kacheza kipa wetu
Mane kakos ala wazi sana dakika ya 57 kacheza kipa wao
Shaqir kakosa kuunganisha tu dakika ya 70
Boby kakosa la wazi sana dakika ya 73 kaokoa Luizi kwenye mstari
Liverpool tulistahili kushinda
Maneno ya Hazard baada ya mechi kuwa wapo very close kufikia quality ya Liverpool na Man City ni kweli!
Mwaani mtakuwa wazuri sana,mwaka huu mtarudi tu champion league kuchukua nafasi ya Man u
Mwaka huu mbio za ubingwa ni Liverpool na Man City
Hilo hata sarriball analijua kuwa man city na Liverpool ndio team zilizokamilika lakini nikuambie sarriball ana akili zake kichwani
Anaweza kuwasifia man city na Liverpool lakini akawafunga vilevile kwa sababu uwezo anao
Kumbuka chelsea haikupewa hata kuwamo kwenye top 4 ya EPL
 
Kuna kinyang'au kinazungumzaga habari za Passes leo kimefyata kabisa
Sarriball ya nyoko
Kubahatisha tu unaongea sana na nikwambie ndio ilikuwa Salama yenu mngeruhusu tumiliki kama kawaida yetu mngekufa mbili safi kabisa
 
Miongoni Mwa Kosa Kubwa Sana Alilofanya Sarri Jana Ni Kumtoa Kovacic akamwingiza Barkley... Kovacic Ameshacheza CL kwahiyo anaexperience ya Kucheza Mechi Kubwa...
Sasa Game Kama Ya Jana Si Yakina Barkley ambao Ni Amateur kwa Mechi Kama Hizi.
Unachosema ni kweli. Ila mpaka uamuzi wa kumtoa Kova ni kwamba alikua ameshafunikwa kabisa. So option iliyokuwepo ilikua ni kumuingiza Fab badala yake kamuingiza Barkley ambaye hakwenda kufanya kufanya chochote.
Sarri aliona ameshinda game na kwamba Liverpool wasingeweza kurudisha goli hivyo aliamua kumingiza Barkley ili kuweza kumpa uzoefu ktk big game Kwa ajili ya future maana Faby game Ya jana yenye kasi na nguvu asingeiweza. Kwahiyo inahitaji vijana. Ata hivyo Barkley ni chaguo la kwanza la sub mbele Ya faby kwasbbu future ya Faby hapo darajani ni ndogo sn.
 
Lakini ulishuhudia vizuri kilichotokea baada ya Barkley kuingia. Amini kwamba hii game ilimfaa sana Fab kama sub ya Kova.
 
Lakini ulishuhudia vizuri kilichotokea baada ya Barkley kuingia. Amini kwamba hii game ilimfaa sana Fab kama sub ya Kova.
Faby ni mzuri kuliko Barkley lkn faby hana nguvu ya kupambana na watukutu kina Henderson, Wijnaldum na Milner.

Ata Huyo Jorginho hana huo ubavu ata Kova hana. Ni Kante tu ndio alikua anawaweza.
 
Hilo hata sarriball analijua kuwa man city na Liverpool ndio team zilizokamilika lakini nikuambie sarriball ana akili zake kichwani
Anaweza kuwasifia man city na Liverpool lakini akawafunga vilevile kwa sababu uwezo anao
Kumbuka chelsea haikupewa hata kuwamo kwenye top 4 ya EPL
Sarriball ni kocha mzuri sana tena sana
Chelsea ni team nzuri sana tena sana
Lkn pale kati Luiz na Rudiger wawena mtu wa ukweli kama sisi VVD
Amchukue mtu kama Manolas au Fazio au Maguire
Cha muhimu zaidi CL mwakani mmeisha ipata
CL spot namba nne ndiyo anagombea Spurs na Arsenal
 
Faby ni mzuri kuliko Barkley lkn faby hana nguvu ya kupambana na watukutu kina Henderson, Wijnaldum na Milner.

Ata Huyo Jorginho hana huo ubavu ata Kova hana. Ni Kante tu ndio alikua anawaweza.
Fab anaexperience na EPL, ana experience na big games. Yupo viziri kistamina though kuna baadhi ya games anapoteana kabisa. Mimi naamini kwa game ya jana ilimfaa kwa sababu Fab ana uwezo wa kumiliki mpira hiyo ingesaidia na kumpa tafu Ginho ambaye alizidiwa kabisa na kina Milner na Gini.

Barkley na Fab hawana tofauti sana kiuchezaji though Fab anaweza kumiliki mpira Barkley yeye mashuti kumiliki mpira si sana. So uwepo wa Fab ungesaidia kusababisha fouls.
 
Sarriball ni kocha mzuri sana tena sana
Chelsea ni team nzuri sana tena sana
Lkn pale kati Luiz na Rudiger wawena mtu wa ukweli kama sisi VVD
Amchukue mtu kama Manolas au Fazio au Maguire
Cha muhimu zaidi CL mwakani mmeisha ipata
CL spot namba nne ndiyo anagombea Spurs na Arsenal
Ni kweli na mimi nakubaliana na wewe hasa luizi ndio shida kubwa rudiger afadhali ana mbio pale anapopitwa lakini luiz ni majanga akipitwa
 
Fab anaexperience na EPL, ana experience na big games. Yupo viziri kistamina though kuna baadhi ya games anapoteana kabisa. Mimi naamini kwa game ya jana ilimfaa kwa sababu Fab ana uwezo wa kumiliki mpira hiyo ingesaidia na kumpa tafu Ginho ambaye alizidiwa kabisa na kina Milner na Gini.

Barkley na Fab hawana tofauti sana kiuchezaji though Fab anaweza kumiliki mpira Barkley yeye mashuti kumiliki mpira si sana. So uwepo wa Fab ungesaidia kusababisha fouls.
Yaani kabisa kabisa,mnakaa kwenye TV zenu mnajipa moyo kuwa Liverpool kamili anapoteza kwa Chelsea hii?
Jamani tupunguze utani!
Chelsea ni team nzuri sana na Sarriball ni bonge ya kocha lkn bado anajenga team
Ataleta mtu mmoja imara pale kati ili Rudiger na Luiz wawe wanabadirishana wao kwa wao sio kuanza wote
Mwaka huu ni Liverpool au Man City
Mwakani ndiyo nyie na Arsenal na kumfukuzia mbali kabisa Spurs
 
Ni kweli na mimi nakubaliana na wewe hasa luizi ndio shida kubwa rudiger afadhali ana mbio pale anapopitwa lakini luiz ni majanga akipitwa
Pia Madrid hawana mtu wa kuongoza team
Kwa hiki kiwango cha Hazard sidhani kama January atabaki
Hazard hamna cha Mbappe wala Neymar wala yyt kwa umri wake
Nadhani atavunja rekoi ya bei ataenda Madrid
 
Pia Madrid hawana mtu wa kuongoza team
Kwa hiki kiwango cha Hazard sidhani kama January atabaki
Hazard hamna cha Mbappe wala Neymar wala yyt kwa umri wake
Nadhani atavunja rekoi ya bei ataenda Madrid
Chelsea wameshaandaa mkataba mpya anaweza kusaini ngoja Tusubiri
Lakini usisahau kilichokuwa kinampeleka madrid ni zinedin zidane tu
I think atasain mkataba mpya wacha tumpe pesa anayolipwa Sanchez bure pale man united
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom