Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Sarri on finishing in the top two: "It will be difficult. I think we can fight." #CFC
Mentor....ivi bado unatumia nguvu kubishana na malafyale. Amebaki kituko tu sikuizi na utabiri wake uchwara. Hapa anajifariji tu. Tumwombee apone ugonjwa aliyonayo kwa kweliNisaidie kuielewa hii logic yako;
How are you superior to a team iliyokufunga kwako (albeit ukiwa hujakamilika) na uka draw kwake (ukiwa umekamilika 110%)??!
Ninajua kuwa kuanzia January na msimu ujao tutakuwa zaidi ya mcharo maana sasa kocha anawaona wachezaji wake vyema.
Hongereni kwa kuwa na timu iliyokamilika. Unanifanya nitamani kuja jukwaani kwenu nione jinsi gani mnajipongeza aisee.
Later in the tunnel, Eden Hazard tells Daniel Sturridge:
“Great goal.... just make sure you do it again next weekend! “
Liverpool play Man City next Sunday.
Sasa kama wanakimbia ovyo mlishindwa vip kuchukua hizo point tatu.?nyie chelsea ndio mnatakiwa kufurahi.tulikua tunabeba points zote 3 leo hapo kwenu, timu yenyewe wachezaji wanakimbia kimbia tu ovyo na hazard wenu.


Na hii ndiyo changamoto kubwa. Tunahitaji striker wa maana atakayeweza kuforce mashambulizi.Mambo ya.iyotugarimu ni kutowafunga goli la pili. Wange tulia na kusema ndiyo baba



Kwa mtazamo wangu ni kipa, defense walikua vzr sn na ule mpira umepigwa kutoka mbaliKesho tutarudi hapa ku discuss goli tulilofungwa , kosa la nani ?
Kipa? mabeki? Formation?au? Wadau muhimu naomba muda mtumie kuangalia tena na tena highlights .KTBFFH
CARABAO CUP FOURTH-ROUND DRAW
AFC Bournemouth v Norwich City
Arsenal v Blackpool
Burton Albion v Nottingham Forest
Chelsea v Derby County
Leicester City v Everton/Southampton
Manchester City v Fulham
Middlesbrough v Crystal Palace
West Ham v Tottenham Hotspur
Ngoja tuone watavuna nini msimu huu.Octobet 31 tunacheza na Derby County raundi ya nne carabao cup. Welcome home former blues Frank Lampard.
The so called MICKY MOUSE CUP![]()
Ngoja tuone watavuna nini msimu huu.Octobet 31 tunacheza na Derby County raundi ya nne carabao cup. Welcome home former blues Frank Lampard.
The so called MICKY MOUSE CUP![]()
Katika game zitakazokua ngumu ni hii. Kwa sababu anawajua wachezaji na utamaduni wetu. Tusubiri muda usemeIyo gemu na derby canti siipati picha itakuwaje... Maana Lampard anarudi nyumbani..