Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna meneja mmoja wa Singida United wakati wa kipindi cha michezo ITV aliita Lipuli FC Liverpool FC ni timu nzuri kwa kujifunga goli
Sijui sasa Liverpool ndio Lipuli au Vice versa
 
Mkuu kila Jambo Lina Muda na Kiasi Chake! Kama Game Yetu imeshapita Nadhani Sasahivi Ungelikomaa Na Timu Yako ukaachana Na Hizi Habari Za Liverpool.
Mwanamme anazungumza Jambo halafu likaisha au Huwaoni Washabiki Wenzako Humu Kama Wameshaachana nazo Hizi Habari za Liverpool?
 
.@HazardEden10 on why neutral fans should support Chelseafc:

“We have the best player in the world (in reference to @NGLKante).”

Bromance. iChelseaTweets on Twitter

IMG_20181002_114353.jpg
 
Naona Lampard anaiomba klabu ya Chelsea iwaruhusu Fikayo Tomori na Mason Mount wacheze dhidi yetu wakati tutakapokutana dhidi yao (Derby County).

Sheria za mchezo zinasema wachezaji waliotolewa kwa mkopo hawaruhusiwi kucheza dhidi ya timu mama isipokuwa kwa makubaliano ya awali baina ya timu hizo mbili.

1538479515319.png
 
Wachezaji wa chelsea wamegundua njia pekee ya hazard kubaki chelsea ni kumsifia tu

Mchezaji Kuhama Timu Kuna Njia Kuu 5.

1) Timu imuuze baada ya kupokea dau nono au haimuhitaji tena (eg. Kepa Mumeuziwa baada ya Kutoa dau nono).

2) Timu inamuuza Baada Ya Timu inayomuhitaji Kufikia Buyout Clause (eg. Suarez na Neymar).

3) Timu inamuuza Baada Ya Kubakisha Mwaka Mmoja tu Katika Mkataba Wake ili kuepuka Kuja kumpoteza bure baada ya Kumaliza Mkataba, hii inatokana na Mazungumzo ya Mkataba Mpya Kushindikana (eg. Courtois).

4) Kuforce kuuzwa Kwa Njia ambazo si za Kistaarabu (eg. Coutinho na Courtois pia anaingia).

5) Mchezaji Anasubiri Kistaarabu Kabisa Bila ya Kuforce Kuondoka Mpaka Mkataba Wake Umalizike na Kuondoka Bure.

Sasa Eden Hazard na Sadio Mane wanaingia hapo Katika Mamba 3 au 5 ndiyo Wanaingia.
 
In other news: Batshuayi anasema hatamani kubaki Valencia permanently. Anatamani kurudi Chelsea baada ya muda wake wa mkopo klabuni hapo.

Mpaka sasa akiwa Valencia amecheza jumla ya mechi 7 na kufunga goli moja tu.

Msimu ambao alinufaika sana ni alipokuwa kwa mkopo Borrusia maana alifunga magoli mengi kulinganisha na mechi alizocheza.

1538480839737.png

Arudi ama la?

HAPPY BIRTHDAY TO HIM...leo ametimiza miaka 25.
 
Naona Lampard anaiomba klabu ya Chelsea iwaruhusu Fikayo Tomori na Mason Mount wacheze dhidi yetu wakati tutakapokutana dhidi yao (Derby County).

Sheria za mchezo zinasema wachezaji waliotolewa kwa mkopo hawaruhusiwi kucheza dhidi ya timu mama isipokuwa kwa makubaliano ya awali baina ya timu hizo mbili.

View attachment 884475

FA wamemuonea Lampard Kwakweli!!

• Mechi ya Kwanza vs Man United
• Mechi ya Pili ni vs Chelsea

Huu si unyanyasaji Kwa Timu ya Championship?
 
Mchezaji Kuhama Timu Kuna Njia Kuu 5.

1) Timu imuuze baada ya kupokea dau nono au haimuhitaji tena (eg. Kepa Mumeuziwa baada ya Kutoa dau nono).

2) Timu inamuuza Baada Ya Timu inayomuhitaji Kufikia Buyout Clause (eg. Suarez na Neymar).

3) Timu inamuuza Baada Ya Kubakisha Mwaka Mmoja tu Katika Mkataba Wake ili kuepuka Kuja kumpoteza bure baada ya Kumaliza Mkataba, hii inatokana na Mazungumzo ya Mkataba Mpya Kushindikana (eg. Courtois).

4) Kuforce kuuzwa Kwa Njia ambazo si za Kistaarabu (eg. Coutinho na Courtois pia anaingia).

5) Mchezaji Anasubiri Kistaarabu Kabisa Bila ya Kuforce Kuondoka Mpaka Mkataba Wake Umalizike na Kuondoka Bure.

Sasa Eden Hazard na Sadio Mane wanaingia hapo Katika Mamba 3 au 5 ndiyo Wanaingia.

Hapo muweke Mane wako...Sioni Hazard akiondoka anytime soon!
 
In other news: Batshuayi anasema hatamani kubaki Valencia permanently. Anatamani kurudi Chelsea baada ya muda wake wa mkopo klabuni hapo.

Mpaka sasa akiwa Valencia amecheza jumla ya mechi 7 na kufunga goli moja tu.

Msimu ambao alinufaika sana ni alipokuwa kwa mkopo Borrusia maana alifunga magoli mengi kulinganisha na mechi alizocheza.

View attachment 884528

Arudi ama la?

HAPPY BIRTHDAY TO HIM...leo ametimiza miaka 25.
Uyu dgo anatakiwa arudi aise..yasitukute ya KDB au Lukaku..

Kuuza players wazuri halafu badae wanatukosti...
 
Hapo muweke Mane wako...Sioni Hazard akiondoka anytime soon!

Hata Mane Hasemi Kuwa Anataka Kuondoka Liverpool! Lakini Haongezi Mkataba.

Na Hazard Hasemi Kuwa Anataka Kuondoka Chelsea lakini Haongezi Mkataba.

Mkuu Kinachomueka Mchezaji Kwenye Timu si Muonekano Wake Bali Ni MKATABA.

Mchezaji Kubaki Neutral Mana Yake Ni Kuwa Anataka Aondoke Kwenye Timu na Heshima.

Time Will Tell

NOTE: SIJASEMA KUWA HAZARD LAZIMA ATAHAMA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom