Hahahah unachekesha mkuu.Huna team ya kumfunga Liverpool kamili
Sio Carabao hii
Kwanini wewe ulishindwa kushinda kwako?Si mlishinda kwetu Kombe la Mbuzi?
Kwa nn msishinde kwenu>?
Nyie ndio mnashangilia mimi hapa ninahuzuni kudrw na timu kama livaSarriball anajua kufundisha mpira!
Leo ilikuwa ni EPL sio kombe la BATA,huwezi mfunga Liverpool huyu akiwa kamili hata tuchezee Mvomero
Ilikuwa mechi nzuri sana lkn mmekutana na Liverpool yenye benchi zuri
1-1 ni fair result
Ingieni mitaani kushangilia ushindi wenu
Mentor
Ntuzu
kalou
Ollachuga Oc
hazard cfc
Hivi kumbe kuna liverpool kamili na isiyokua kamili.?Yaani Mentor unakaa mbele ya TV una amini kabisa kuwa Liverpool kamili anapoteza kwa Chelsea?
Really?Acha utani ndugu yangu!
Ingieni mitaani kushangilia ushindi wenu
Sija ku quote mzee wa "someone will suffer " .. please DO NOT QUOTE ME ....
Liverpool kamili ndio ipi???
Toka 2012 hujawahi mfunga chelsea,
Nilikwambia ukitaka kutudhibiti Chelsea ni lazima umiliki mpira kuliko au zaidi yetu. Majibu unayo toka alipoingia Keita.Na Jengine Mkuu Mentor iangalieni tena Sarriball yenu..
Kwama Wewe Ni Mshabiki Wa Chelsea tu basi Leo Ni sawa!!!
Lakini Kama wewe Ni Mshabiki Wa Mpira Kabla Ya Chelsea basi kuna Weakness Kubwa Sana Katika Mfumo Wenu na Stats Zinaonesha Kuwa Leo Haukufunction Klopp Kafanikiwa Kuutibua..
Sasa Liverpool si timu inayopress Marahii na imefanikiwa Kuudhibiti Sarriball, sasa Siku Mutakayokutana na Timu inayomiliki (Press) Mpira sijui itakuwaje!!!
Ha. Ha haLeo nimeona umuhimu pedro,katoka William kaingia Moses kuruka ruka
Nilikwambia ukitaka kutudhibiti Chelsea ni lazima umiliki mpira kuliko au zaidi yetu. Majibu unayo toka alipoingia Keita.
Si mbaya draw ila bado tatizo lipo kwenye ufungaji. Mfumo ni mzuri ila bado haujakamilika au haujapata watu kamili wa kuuendesha. Bado tunahitaji kusajili zaidi.