Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Blaza mchambuzi umetumia kigezo gani kusema Chelsea ni timu iliyokamilika na Liverpool bado haijakamiliaka ukiliangalia performance ya timu hizi msimu uliopita?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana ana amini Chelsea ni timu bora kuliko Liverpool. Pia Liverpool ukiangalia kwa makini wana kikosi finyu sana pengine kuliko chelsea.

Liverpool ina first XI tu iliyokamilika lakini haina backup nzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ndio mkuu mpira wa Sarri umeanza kwiva kwa wachezaji lakini naona kama tunafungika kirahisi sana.

Sarri anatakiwa kujenga defense yenye nguvu kuzuia kufungwa kirahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la sarri ni kumwamini David Luiz
Lakini inashangaza mabeki wetu gafla wamesahau kukaba wakati ndio mfumo walioutumia kwa muda mrefu sasa hivi nao wanaenda mbele tu nyuma wanaacha wazi na ni ukweli usiopingika ukikutana na team yenye counter attack ya kasi tunafungika kirahisi

E&K
 
Tukitaka uimara wa nyuma itabid jorginho na kante wabadilishane nafasi
Lakini bila shaka analifanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo wa sarri unahitaji jorgihno aendelee kukaa deep Huku kante na kovasic wakiwafikia middifield WA Team pinzani kwa haraka nachokiona kakosa beki kiongozi Luiz hawezi ongoza defense, pia kovasic anapaswa kumlinda Alonso Kwasababu anajisahau akienda kuongeza madhambulizi
 
200 Premier League appearances for our Captain.

IMG_20180827_055145.jpg
IMG_20180827_055149.jpg
IMG_20180827_055153.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blaza mchambuzi umetumia kigezo gani kusema Chelsea ni timu iliyokamilika na Liverpool bado haijakamiliaka ukiliangalia performance ya timu hizi msimu uliopita?

Sent using Jamii Forums mobile app

Performance ya timu na Kukamilika Kwa Timu Ni Vitu 2 tofauti.

Inawezekana Timu imekamilika lakimi ikawa inacheza Underperformance Kama mulivyokuwa Last Season Kwa Conte baada ya Wachezaji Kukosa Morali.
 
Mh Ngwaba,
Kwahiyo Chelsea imekamilika ila Liverpool bado inajengwa???!!!!!!!


Kweli...???!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijajua Mantiki ya Post yako na Kile Nilichokiandika Mimi.

NiliyemQuote Mimi Hapo Awali Nilikusudia Kumwambia Liverpool Aliyokuta Klopp Siku Aliyokabidhiwa Ni Tofauti na Chelsea aliyoikuta Sarri Siku aliyokabidhiwa.

• Klopp anatumia Muda Mwingi Kuijenga Timu Kwasababu Kwa aina Ya Wachezaji Aliowakuta Kina Benteke, inamlazimu Ajenge Kikosi Kipya Cha Wachezaji Wote 11 Kuanzia Kipa Mpaka Striker.

• Lakini Tofauti na Sarri, Yeye Kawakuta Wachezaji Wenye Uwezo ila Wamekosa Morali tu Kwahiyo Alichokifanya Yeye Ni Kuwaboresha tu lakini sio Kujenga Timu.
Anachokifanya Sarri Ni Addition tu Ya Joginho Kwasababu Muliondosha Matic.
 
Performance ya timu na Kukamilika Kwa Timu Ni Vitu 2 tofauti.

Inawezekana Timu imekamilika lakimi ikawa inacheza Underperformance Kama mulivyokuwa Last Season Kwa Conte baada ya Wachezaji Kukosa Morali.
Kwa hiyo maana ya timu kukamilika kwako ni ipi? Kwa kuwa inawezekana timu zingine zote zikakamilila ila Liverpool isikamilike

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom