Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Malafyale na king gwaba vipi goli tano mbona sijaziona wakati mlikuwa nyumbani kwenu

E&K
 
Mimi naunga mkono hazard aendelee kutokea bench tu

E&K
da mbona siamini mawazo yanatoka humu team gani dunia hii hazard atakaa benchi tuheshimu wachezaji wazuri discipline ya hazard ni ya hali ya juu, ila uvumilivu una kikomo kuna siku chelsea itakuwa nyuma ya goli 2 atakataa kuingia hapo ndipo mtajua washabiki wa Chelsea walivyo, mchezaji wa kiwango cha dunia, captain wa beligium anakaa benchi ,William&pedro wanacheza tuache kutukana football, ni bora wamuuze hata united nisije poteza fursa ya kuona moja ya viwango bora kabisa, kocha anachosubiri hazard kuanza migomo kama ya cotihno ,uwepo wa hazard unatetemesha defense ya team yoyote duniani ,tuachekuunga mkono visivyo na maana,team ina defence mbovu sijawai kuona toka nimechagua kuishabikia,mchezaji anaeweza kukaa na mpira kufanya wapinzani wasijisahau na kushambulia Sana anakaa benchi
 
Ungejua mawazo ya hazard hayapo chelsea kwa sasa ungenielewa japo kidogo tu
Hazard anairingia sana chelsea hivi sasa hataki kusain
Toka kombe la dunia alisema muda wake wa kuondoka umefika
Mi nitamwamini tu kama akisain mkataba mpya
Sarri aamue anavyotaka juu yake mwenyewe

E&K
 
Ilikuwa bahati tu
Match Ilikuwa sare kabisa

E&K

Wewe Kweli umeangalia Mpira LiveScore ndiyomana unaweweseka Hivyo!

Screenshot_20180826-141421.png

Kulingana Na Hizo Stats Hapo Juu Hebu Nipe Point Moja tu yakuwa Tumebahatika.

Mtu Kafanya Clearances 34 kwa Zangu 11 Halafu unasema Nimebahatika?
Nimepiga On Target 8 kwa Zake 2 Halafu unasema Nimebahatika?

Jifunzeni Kuangalia Mpira Bhana!!!
 
Abramovich puts £2bn Chelsea up for sale

2 hours ago 12:16
Roman Abramovich has put Chelsea up for sale, and values the club at over £2 billion (€2.2bn/$2.5bn).

The Russian oligarch has hired an American investment bank to broker the sale, and is hopeful of receiving a record fee for a football club.

Abramovich rejected a £2bn bid from Sir Jim Ratcliffe earlier this year, as he was holding out for a higher bidder.
 
Wewe Kweli umeangalia Mpira LiveScore ndiyomana unaweweseka Hivyo!

View attachment 847393

Kulingana Na Hizo Stats Hapo Juu Hebu Nipe Point Moja tu yakuwa Tumebahatika.

Mtu Kafanya Clearances 34 kwa Zangu 11 Halafu unasema Nimebahatika?
Nimepiga On Target 8 kwa Zake 2 Halafu unasema Nimebahatika?

Jifunzeni Kuangalia Mpira Bhana!!!
Bahati tu nakwambia
We angalia umekosa goli ngapi na umecheza mpira mwingi mno lakini hola
Ilikuwa bahati we kuwahi kupata goli moja kabla ya half time

E&K
 
Abramovich puts £2bn Chelsea up for sale

2 hours ago 12:16
Roman Abramovich has put Chelsea up for sale, and values the club at over £2 billion (€2.2bn/$2.5bn).

The Russian oligarch has hired an American investment bank to broker the sale, and is hopeful of receiving a record fee for a football club.

Abramovich rejected a £2bn bid from Sir Jim Ratcliffe earlier this year, as he was holding out for a higher bidder.
Yaani we ndio unaiona leo hii habari
Hii ni habari iliyokanushwa na boss abromovich miezi miwili iliyopita na hii story ilikuja baada ya uingereza kumnyima kibali cha kuendelea kuishi uingereza kwa sababu ya urafiki wake na rais Putin kwa sababu za kisiasa

Yakukanusha Ni habari Mbali na hii Niliyoileta Mimi!
Hiyo unayosema wewe Ni hile ya tokea January.
 
Bahati tu nakwambia
We angalia umekosa goli ngapi na umecheza mpira mwingi mno lakini hola
Ilikuwa bahati we kuwahi kupata goli moja kabla ya half time

E&K

Bado hujaprove Kuwa Kwanini tumebahatika!!!

Na Mimi Nikisema Yeye BHA kabahatika Kuwa Hatujamfunga mengi, Nitakosea?
 
Yakukanusha Ni habari Mbali na hii Niliyoileta Mimi!
Hiyo unayosema wewe Ni hile ya tokea January.
Sasa kama anataka kuuza pauni billion 2 alizokataa ni nyingi mno
Yeye aliinunua pauni milioni 140 tu
Ujue hana mpango labda wafiki bilioni 6 pauni

E&K
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom