Kawaandikie hivi kwenye thread yaoGood luck Newcastle
Good luck Rafa
Kwa ligi ya UK, Liverpool ni timu ya kawaida sana kama Mana city tu!!!!!!!!!
Acha dharau wewe na wakati hilo kombe umelipigania mpaka mafua yamekutoka. Kweli masikini akipata akipata matter core hulia mbwatter..Kwahiyo ulichoaminishwa Wewe Kuwa Chelsea ndiyo timu kubwa? Hii dunia haiishi vituko mkubwa kucheza Eropa na Mbwana Samata.!!!
Nipe statistics mpk sasaDakika ya 25' Shots on Target Ni 0
Sijui Hata munacheza Nini 😀 😀 😀
Au Maugoro kaambiwa Points zinapatikana Kwa Pasi Nyingi??
Take a chill pill kijana..Half-Time only ONE shot ON target SarriBall bhana inamake sense Kweli 😀 😀 😀
Wako wapi akina CHUGA? This is footballHalf-Time only ONE shot ON target SarriBall bhana inamake sense Kweli 😀 😀 😀