Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ddnt watch the game, lakini i concur with ya, kumpanga mechi ngumu na mhimu kama hii Torres kullimwongezea presha tu ambazo ni so unnecessary. Pengine asingeanza things would have cooled down.
All in all it's not over till its over. As far as am concerned nakuwaga worried sana kufwata kwa ukaribu na Chelski kuliko Fat Arse. Honest. Kataa kubali, thts fact.


Kwa mwendo huu kombe mtachukua kirahisi mwaka huu, hao Fat Arse wala hawatawapa shida sana ni pretenders tu hao ambao wameoverachieve so far.
 
Kwa mwendo huu kombe mtachukua kirahisi mwaka huu, hao Fat Arse wala hawatawapa shida sana ni pretenders tu hao ambao wameoverachieve so far.


Ndio mkuu Peasant tumeoverachieve baada ya kuwakung'uta pale Emirates .. ... khe khe kheeeeeeeeeeee Wivu utakuua. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee lazima manure washinde jana refa alisahau kuongeza dakika hadi wasawazishe khe khe kheeeeeeee
 
Kwa mwendo huu kombe mtachukua kirahisi mwaka huu, hao Fat Arse wala hawatawapa shida sana ni pretenders tu hao ambao wameoverachieve so far.

I never counted hao Fat Arse Anal.....Mkuu Luiz David ni Jembe sana kwa muda alocheza amenifurahisa sana...kibaya hachezi CL
 
Mkuu sisi jana tumepata point moja Manure point 0, Chelsick point 0 and on top of that sisi ndio tulianza na kwa sababu ya Brown envelopes na umafia wachezaji kumi ndio walikuwa uwanjani two soft penalties, diaby hashly judged tumepigana kiume point moja kibindoni nyinyi vipi? tunachoshuhudia ni soka mbofu mbofu tu kutoka kwenu. Chacha chijui mtakapokwaana nani atakuwa na afadhali.


khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee


Patamu hapo Mkuu ni ukweli ambao haupingiki...ahsante sana
 
Alivyocheza jana Anelka siwezi kuamini ataanzia bench! Wapenzi wengi wangependa kuona £ 50 Mil striker anaanza. Kuweza accommodate Torres mmoja wapo kati ya Drogba na Nic lazima aanzie bench. More likely Didier sababu ya kiwango duni cha sasa alichonacho.Blue for life
David Luiz akianza maisha mapya darajani! Torres vitu anavyofanya kwenye mazoezi ni balaa! Cannot wait to see the pair tormenting looserfool Jumapili
You're right, , vyovyote itakavyokuwa hata mimi napenda kuona DD akianzia bench kwa kiwango cha sasa. Lakini nina hisia kwamba Carlo ataona ni mapema mno kwa Torres kucheza mechi yote tena dhidi ya Liverpooluwa nitafurahi sana akiwapiga bao hao bitter Scousers.

...:coffee:...

Yeah, ilikuwa tactical mistake kwa Carlo kujaribu mfumo mpya kwenye mechi ngumu na ambayo tayari Torres alikuwa under pressure hata kabla ya mechi kuanza, nafikiri ingekuwa poa akacheza kwa mfumo tuliozea na wachezaji wanaofahamiana zaidi walitakiwa waanzae. Tulikosa penetration from the wings, na katikati Liverpool walikuiwa wamejaa mno.
...:A S 13::A S 13::A S 13:.....???..


woodpecker_has_to_go.jpg


...mmenunua "Kigong'ota" (Woodpecker) kwa thamani ya £50m nyie, woa-aaa-hha ha ha ha haaaa!!
 
......And there was Torres saying Liverpool are not ambitious and he wants to play for a team that wins the
Champions league blah blah. I wonder how many Champions league Chelsea Clinton FC has won, compared to Liverpool. Reminds me of Michael Owen, who killed his career by trying and failing to win the Champions League with Real only for the Reds to win it without him! Long Live Liverpool!!!
Money can never buy history, tradition and glory!!
 
I never counted hao Fat Arse Anal.....Mkuu Luiz David ni Jembe sana kwa muda alocheza amenifurahisa sana...kibaya hachezi CL
Kweli David Luiz ni mashine ,sijui kwa nini Carlo alimuanzisha benchi na kujaribu new fomesheni kwenye game kubwa .Keny Daglish kweli nimeamini ndio maana mashabiki wa Liverpool walikuwa wanamlilia
 
......And there was Torres saying Liverpool are not ambitious and he wants to play for a team that wins the
Champions league blah blah. I wonder how many Champions league Chelsea Clinton FC has won, compared to Liverpool. Reminds me of Michael Owen, who killed his career by trying and failing to win the Champions League with Real only for the Reds to win it without him! Long Live Liverpool!!!
Money can never buy history, tradition and glory!!
Na huko alipoenda ana hatihati kukosa champions league,la poleni watoto wa darajani wenye rangi ya bluu
wanakuambia usitumie pesa kama fimbo kaka,maana hata njiwa na mpenzi wake kwenye tundu,wanapendana na wala hawajui noti wala shilingi hahahaha!
 
We Belo ndio aka matambo nini? Hiyo avatar mnafanana hivyo?
Anyway Poleni the Blues lakini safari bado.....ingawa dah!:first:
 
........Indeed, there's more chance of Dalglish being a Premier League manager at the start of 2011/12 than Carlo Ancelotti. The Italian might have to win the Champions League to save his job. The FA Cup? Insufficient. Jose Mourinho was dismissed just four months after lifting the trophy at Wembley in May 2007. The Premier League? No chance..........

Na bado itakuwa powa kama liverpool wakimaliza juu ya chelsea
 
Torres-night-splas_1245912a.jpg


Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee








 
cara_torres1_1246284a.jpg







Bundi katua kama tulivyosema alionekana leo kwenye makuti pale darajani kwa masikitiko makubwa Mungiki Brother imebidi apande basi leo na kurejea Kibera maana maisha yamekuwa magumu bila kuingia kwenye jukwaa, bora akamalizie matanga kule kwao wakati kimbunga cha Elnino kimekuwa absolutely Invisible. Sala za Rev Kishoka kidogo zimesaidia Rev Masanilo ameonekana akibangaiza kule kwenye jukwaa la siasa na yule mwenzetu wa timu za vichochoroni amekauka kama hapajatokea kitu. Inshallah J3 ijayo sijui Bundi ataamua nini maana safari zimemchosha hivyo makuti yajiandae kwa sanda khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee Peasant's wameonekana wakishika kaniki za Tor the res khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Poleni sana jirani zangu......na bbado.......Torres kaja na gundu huyo la Liver huyo.....lol
 
Nimepitia kuwasalimia tu "The Blues". Wazima lakini?
 
barred-owl.jpg


Nasikia kijua kilitoka leo pale London na bundi alikuwa gado anastarehe

kwenye Daraja la Makuti kama kawa .....

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee




article-1354687-05275624000005DC-514_634x424.jpg



Hali si shwari na huyu bwana anatakiwa kwa udi na uvumba arejee .......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom