Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Peasant acha blah blah bana, msiba huo
 
Mkuu Mbu tuletee picha ya jeneza yenye jezi ya torres juu yake loool tukamilishe msiba.
hahaha wajuba mlikuwa mmeikamia chelsea kudadeki... Naona ile resurgency yao ya kushinda mechi mbili tatu imezimwa...
 
hahaha wajuba mlikuwa mmeikamia chelsea kudadeki... Naona ile resurgency yao ya kushinda mechi mbili tatu imezimwa...

Jamaa wamesumbua sana kuanzia jumatatu mpaka jana .kelel zilikua nyingi sana za Torres .Mpa invisible akaibuka na thread "its good to be a blue" lool.
 
Talk to the Hand

register

Khe khe khe Peasant afadhali jamaa wamekusaka hadi unaonekana Check hapa chini .... ...

_51124345_011204381-1.jpg

Hivi mtafika kweli msimu ujao huo ndio wasi wasi khe khe kheeeeeeeeeeeeee niliwaambia timu haiwezi kupangwa na Abraham O Vich akishirikiana na Emanolo muuza unga kutoka Nigeria. Chacha gombana menyewe

Khe khe kheeeeeeeeeeee
 
pole sana chelsea kwa kufungwa na liverpoor ila mmeonewa mana halikuwa gol halal katka kufungwa ila kufungwa ilikuwa halal yenu sawa chelsea polen sana
 
hahaha wajuba mlikuwa mmeikamia chelsea kudadeki... Naona ile resurgency yao ya kushinda mechi mbili tatu imezimwa...

Fat Arse ni wazee wa vuvuzela hapa jamvini kila anajua na tumewazoea hawatupi shida.
 
Jamaa wamesumbua sana kuanzia jumatatu mpaka jana .kelel zilikua nyingi sana za Torres .Mpa invisible akaibuka na thread "its good to be a blue" lool.
hahah invisible na mwenzake ab tichaz sijawaona kipande hii tangu october....chelsea waombe refund au kwenye soka hakuna mambo ya 30 day return/exchange policy?
Torres alitakiwa aanzie benchi ila kwa kuwa jamaa (w)alikuwa desperate kutaka kuprove a point akarushwa into the mix matokeo yake akafunikwa.
 
Khe khe khe Peasant afadhali jamaa wamekusaka hadi unaonekana Check hapa chini .... ...

_51124345_011204381-1.jpg

Hivi mtafika kweli msimu ujao huo ndio wasi wasi khe khe kheeeeeeeeeeeeee niliwaambia timu haiwezi kupangwa na Abraham O Vich akishirikiana na Emanolo muuza unga kutoka Nigeria. Chacha gombana menyewe

Khe khe kheeeeeeeeeeee

Talk to the Hand

talk_to_the_hand_by_ftpaddict.jpg
 
Jamaa wamesumbua sana kuanzia jumatatu mpaka jana .kelel zilikua nyingi sana za Torres .Mpa invisible akaibuka na thread "its good to be a blue" lool.

Alitoweka huku kwa sababu moto ulikuwa mkali. Namsifu mkuu mbu kwa kutuletea Bundi and then kwa safari yake kutoka kwa Manure hadi kwa Chelsick naona kuna Internationals ukingoni sasa atapumnzika kidogo. Walikuwa wanachonga jana wakati hawajui nini kinawasubiri. Mambo junguluka khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
chelsea-liver-spla_1245658a.jpg

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Torres123_12_682x4_1245708a.jpg

Tor the Res floored down on his debut ...

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Chelsea-v-Liverpool-Fernando-Torres-down_2559600.jpg

Tor the res is left on the deck after a challenge from Daniel Agger.

Tor the res karuka mkojo kakanyaga m***

Khe khe kheeeeeee
 
_51124631_torres2_466x260getty.jpg

Aibu ... ...

article-1354194-0D106EA9000005DC-90_634x387.jpg

Kaniki za Tor the res hazina bei zimedorola... ..... chacha wajomba

ile £50 million ndio matunda yake .... ..

tuliambiwa zitauzwa worldwide chijui kwa soka lipi?

article-1354194-0D10DDF0000005DC-877_634x452.jpg

Peasant njoo uwe refa kwenye huu mpambano wa ngumi

kati ya Cech & Iva

article-1354194-0D10C56D000005DC-696_634x402.jpg

Chacha chinachubiri jeneza khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Yeah, ilikuwa tactical mistake kwa Carlo kujaribu mfumo mpya kwenye mechi ngumu na ambayo tayari Torres alikuwa under pressure hata kabla ya mechi kuanza, nafikiri ingekuwa poa akacheza kwa mfumo tuliozea na wachezaji wanaofahamiana zaidi walitakiwa waanzae. Tulikosa penetration from the wings, na katikati Liverpool walikuiwa wamejaa mno.

Ddnt watch the game, lakini i concur with ya, kumpanga mechi ngumu na mhimu kama hii Torres kullimwongezea presha tu ambazo ni so unnecessary. Pengine asingeanza things would have cooled down.
All in all it's not over till its over. As far as am concerned nakuwaga worried sana kufwata kwa ukaribu na Chelski kuliko Fat Arse. Honest. Kataa kubali, thts fact.
 
Wacha utukutu na wewe mpira hukuona then unaleta ngebe, Wolves jana wamekukamua chacha unafikiri tumesahau nenda kamuuguze Rio .. .... .... kilichobaki ni kujikombakomba tu khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
 
article-1354194-0D10F141000005DC-228_634x433.jpg

They said they will never walk alone ... ... ......

wamewashindilia Chelsick double msimu huu.
 
Nazidi kuamini kuwa usimtusi mamba kabla hujavumka mto, jana nilipata droo jamaa wa blue na mashetani wekundu walinizomea hadi haiwezekani. Poleni sna jamani nimepita kuwapa hi tu!
 
Wacha utukutu na wewe mpira kukuona then unaleta ngebe, Wolves jana wamekukamua chacha unafikiri tumesahau nenda kamuuguze Rio .. .... .... kilichobaki ni kujikombakomba tu khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
Ukiona mwenzio ananyolewa na wewe.....
Safari bado ndefu chief.
 
Ukiona mwenzio ananyolewa na wewe.....
Safari bado ndefu chief.

Mkuu sisi jana tumepata point moja Manure point 0, Chelsick point 0 and on top of that sisi ndio tulianza na kwa sababu ya Brown envelopes na umafia wachezaji kumi ndio walikuwa uwanjani two soft penalties, diaby hashly judged tumepigana kiume point moja kibindoni nyinyi vipi? tunachoshuhudia ni soka mbofu mbofu tu kutoka kwenu. Chacha chijui mtakapokwaana nani atakuwa na afadhali.

khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom