Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Khe khe kheeeeeeeeeeeeee mpira mmeshindwa sasa maneno mengi kama pilipili manga. Free transfer does not mean free kama ni hivyo Michael Ballack mlilipa kiasi gani? Mkuu wachezaji wenu wengi walikuwa mizoga kwenye timu nyingine ndio maana wapo kwenu.
BTW sio wewe ulikuwa unapinga kwamba hamuuzi madawa ya kulevya? Kama kawa, kama huoni uozo wa Stamford bridge utajuaje uzuri wa Emirates. Endeleeni kula makombo ya Abraham O Vich hata siku moja hamuwezi kuwa mali kitu.
Bora muuzaji kuliko mtumiaji kama wewe, posts zako zinaonyesha ni kwa kiwango gani umeathirika na madawa ya kulevya, you urgently need rehab before it's too late.