Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

ha aha ha ha ha ha msibaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wenyewe wako wapi humu.

Tupo mkuu, naona mambo yetu mabaya leo. Nafikiri ilikuwa mapema sana kumwanzisha Torres, anaonekana alikuwa under pressure kuanzia mwanzo. Anyway, ligi bao inaendelea, ndio kwanza twist and turns zimeanza.
 
GAME OVER...........L'pool 1..Chelsea 0..........Point tatu safi...out of top four ni Liver tu kashinda this weekend...Hongereni sana...Hata hii moja kwa Nunge mi naona kama mmeshinda koz mlitakiwa kupigwa 4....................

Nne zinapita kwenye goli la Arse sio Chelsea.
 
Namtafuta Peasant mara ya mwisho alionekana kwenye thread ya Arsenal akiwa na Rev Masanilo lakini ghafla bin vu haonekani. Naomba ndugu na jamaa watusaidie isije ikawa huyu popobawa kawafanya vibaya. Bundi huyu hapa chini alionekana amechoka kutoka safari yake ndefu kutoka kule Old trafford.

barred-owl.jpg

Tafadhali Mungiki Brother, ambaye amekuwa Invisible pamoja na kuwa tupo kwenye musimu wa kimbunga cha Elnino tunaomba mtusaidie kumpata Peasant wetu akiwa na Rev Masanilo. Rev kishoka swala zako zinahitakiwa hivi sasa kuliko wakati mwingine wowote.

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
torres 50 milion, luiz 20 milion the look on chelsea's players after final whistle PRICELESS
 
Ukiona mwenzio ananyolewa na ww tia maji....
Poleni waungwana.
 
Tupo mkuu, naona mambo yetu mabaya leo. Nafikiri ilikuwa mapema sana kumwanzisha Torres, anaonekana alikuwa under pressure kuanzia mwanzo. Anyway, ligi bao inaendelea, ndio kwanza twist and turns zimeanza.

Mkuu ndio maana nilikuomba list yenu siku mliomsajili Torres.Mmefanya kosa sana kutomuanzisha Malouda.

Yule Lampard naona kama mzigo pale midfield au macho yangu? mnahitaji play maker pale kati wa kuwalisha forward wenu ,lampard ni mzuri mnapotumia striker mmoja na yeye kucheza nyuma ya striker.
 
Mkuu ndio nilikuomba list yenu siku mliomsajili Torres.Mmefanya kosa sana kutomuanzisha Malouda.

Bado hajaelewana na wenzie katika game ngumu kama hii JINA halikua la msingi kama Ushindi....Hii weekend itakua TAMU sana kwa Man City and T'Ham fanz..........
 
There are currently 14 users browsing this thread. (9 members and 5 guests)
Questt Eqlypz Arsene Wenger+ Manda Peasant mshikachuma Hey nassdadon

Rev Masa HAYUPO...kakimbia...Anyway tutaonana siku nyingine...........................Hongera sana Peasant kwa uwepo wako...Huu ni UUNGWANA tosha umeuonyesha na Pole sana kwa Matokeo...Ndo mpira...........Ila bado nina swali Moja...Bado una Matumaini na Ubingwa???????????
 
Namtafuta Peasant mara ya mwisho alionekana kwenye thread ya Arsenal akiwa na Rev Masanilo lakini ghafla bin vu haonekani. Naomba ndugu na jamaa watusaidie isije ikawa huyu popobawa kawafanya vibaya. Bundi huyu hapa chini alionekana amechoka kutoka safari yake ndefu kutoka kule Old trafford.

barred-owl.jpg

Tafadhali Mungiki Brother, ambaye amekuwa Invisible pamoja na kuwa tupo kwenye musimu wa kimbunga cha Elnino tunaomba mtusaidie kumpata Peasant wetu akiwa na Rev Masanilo. Rev kishoka swala zako zinahitakiwa hivi sasa kuliko wakati mwingine wowote.

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Talk to the Hand

talk_to_the_hand_by_ftpaddict.jpg
 
Duh Kumbe Carlo alikua anaomba Draw?????????

Chelsea boss Carlo Ancelotti: "It's difficult to talk about the situation of the referee because the game has finished. It was a penalty [Glen Johnson's challenge on Branislav Ivanovic late on], but we didn't play well. We were not good enough to win this game. They defended very well [using three centre-backs] and we were not able to find the right space to attack. I took Torres off because I wanted to change to system. It was difficult because we played from the back too slow. [But] it wasn't the system: this was the same as when we played very well against Sunderland. The right result was a draw." BBC
 
Bado hajaelewana na wenzie katika game ngumu kama hii JINA halikua la msingi kama Ushindi....Hii weekend itakua TAMU sana kwa Man City and T'Ham fanz..........

Style yao itamchukua mda ku-adapt au wabadilishe formation ambayo itaweza kumfaa.
 
Kweli si mchezo
Kocha anaonekana anashindwa kabisa kujua timu aibadilishe vipi ikikutana na timu ipi, nadhani muda wake wa kukaa Darajani umefika mwisho, mechi ya leo ilikuwa bonge la Advantage ya kuwakarfibia MAn na Arsenal

Timu kama inakosa morali wa Kocha ni balaa kabisa,

tumepoteza mechi muhimu sansana
 
Talk to the Hand

12msn.jpg
Khekheeeeeeeeeeeeeeeeeeee... khekhekhekheeeeeeeeeee... ati? tok to the hand?

Thank you rerrible torres for giving fifty million quids, with that we could afford carrol and suarez, you never defended, and today i saw a typic terrible who was just a burden to us

MY WORD TO YOU TERRIBLE.... WITH YOU IT WAS PRESSURE, WITHOUT YOU ITS EVEN BETTER
 
Mkuu ndio maana nilikuomba list yenu siku mliomsajili Torres.Mmefanya kosa sana kutomuanzisha Malouda.

Yule Lampard naona kama mzigo pale midfield au macho yangu? mnahitaji play maker pale kati wa kuwalisha forward wenu ,lampard ni mzuri mnapotumia striker mmoja na yeye kucheza nyuma ya striker.

Yeah, ilikuwa tactical mistake kwa Carlo kujaribu mfumo mpya kwenye mechi ngumu na ambayo tayari Torres alikuwa under pressure hata kabla ya mechi kuanza, nafikiri ingekuwa poa akacheza kwa mfumo tuliozea na wachezaji wanaofahamiana zaidi walitakiwa waanzae. Tulikosa penetration from the wings, na katikati Liverpool walikuiwa wamejaa mno.
 
HA HA HA!!!, e bana eer!!!, ...nipo kwenye shifti Ya maboksi, nikirudi mtanitambua! Ehh, Torres jezi namba tisa mgongoni, kama woodpecker vile! Ha ha ha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom