Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ningependa Jpili aanze Anelka na Torres kule mbele! Point tatu kibindoni tunajivuta pole pole

Sidhani kama Carlo anaweza kumwanzisha Torres, most likely ataingia kipindi cha pili. Kama Anelka atamaintain kiwango cha leo, sioni wa kutuzuia kufunga.
 
Naona mmefufuka leo lakini J2 msirudishe matanga ... ... yule bundi amekwenda kusalimia tu kule nyumbani kwa Spurs ... ..... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sidhani kama Carlo anaweza kumwanzisha Torres, most likely ataingia kipindi cha pili. Kama Anelka atamaintain kiwango cha leo, sioni wa kutuzuia kufunga.

Alivyocheza jana Anelka siwezi kuamini ataanzia bench! Wapenzi wengi wangependa kuona £ 50 Mil striker anaanza. Kuweza accommodate Torres mmoja wapo kati ya Drogba na Nic lazima aanzie bench. More likely Didier sababu ya kiwango duni cha sasa alichonacho.

Hebu ona anavyopendeza na uzi wa blue

http://www.chelseafc.com/page/LatestNews/0,,10268~2282230,00.html

Blue for life
 
Torres mashine nyingine ile msifananishe na wachezaji wenu wa kufunga magoli mpaka wapitie kwa kalumanzira au wanakaa miezi kibao bila magoli,waspain mpira wanajua hata wengine timu ya taifa hawaitwi na wapo bench(majina siwataji naheshimu timu za watu)tena hao ni muhimu ktk klabu zao hadi wengine wamepewa unahodha ila timu ya taifa ya spain ni bench.
 
The Following User Says Thank You to gutierez For This Useful Post:

Rev Masanilo (Today)
 
Hi kwanini Arsenal wamechukia sana kuliko hata Liverpool, Chelsea kusign Torres na Luiz?

By the way it has been confirmed that Luiz gets number 4 jersey vacated earlier by Jean Claude Makelele na Torres gets number 9 which was used by Di Santos.

Muziki mkubwa huo.

0,,10268%7E9386707,00.jpg
0,,10268%7E9382719,00.jpg
 
Hi kwanini Arsenal wamechukia sana kuliko hata Liverpool, Chelsea kusign Torres na Luiz?

By the way it has been confirmed that Luiz get number 4 jersey vacated earlier by Jean Claude Makelele na Torres gets number 9 which was used by Di Santos.

Muziki mkubwa huo.

0,,10268%7E9386707,00.jpg
0,,10268%7E9382719,00.jpg

Hatuwachukii tunawapenda sana sana tu mkiibuka tunawachapa tena ..... ....
Hongera basi Rev bandia mwaka huu hamna recession tena naona bei ya unga imepanda mara dufu khe khe kheeeeeeeeeeeeeee

The Sun will send your ‘traitor’ football shirts to Africa | The Sun |News

Jezi moja ya Torress ni £50, Kama target ni kuuza copy Millioni Moja dunia nzima mpaka June 11 - sasa piga hesabu mwenyewe then compare na pesa ya manunuzi £50million.

Wazo tu wa wale wanaosema Chelsea imepoteza fedha nyingi kumnunua staa huyu.

Mzee wa vimbunga Karibu sana kaka kufungwa kubaya eh? Yaani pamoja na matanuzi yenu mechi 12 mnashinda mechi tatu! Jitahidini tu ndio mfahamu Umafioso sio mzuri. Sie tupo gado mwaka huu tangu uanze tunapigilia misumari tu tena ukikaa vibaya tunakuweka tatu. Sasa hii fair play mtaiweza kweli au ndio danganya toto?

Nasikia hata ile gentleman agreement hamuitaki tena baada ya kupata another loser fools in the name of Toe the res ... .... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW vipi Mungiki brother amesusa? Je Invisible? Peasant na Masa wapo kama kawa chacha kama wameacha ushabiki wasilete ngebe mkishinda!
 
0,,10268%7E9388546,00.jpg
0,,10268%7E9388545,00.jpg

David Luiz akianza maisha mapya darajani! Torres vitu anavyofanya kwenye mazoezi ni balaa! Cannot wait to see the pair tormenting looserfool Jumapili
 
0,,10268%7E9388545,00.jpg

Hapo wakae makipa 3 Manone, Fabinsk, Almunia lazima kucheka na kulia yote makelele
 
The Sun will send your ‘traitor’ football shirts to Africa | The Sun |News

Jezi moja ya Torress ni £50, Kama target ni kuuza copy Millioni Moja dunia nzima mpaka June 11 - sasa piga hesabu mwenyewe then compare na pesa ya manunuzi £50million.

Wazo tu wa wale wanaosema Chelsea imepoteza fedha nyingi kumnunua staa huyu.

Lakini hiyo bei uliyoweka ni ya kuchakachua, vile vile Chelsick hawana washabiki wengi duniani kama Arsenal, Manure, Barca etc hata Darajani mnashindwa kujaza chacha hizi figures inawezekana ni kutokana na kuuza unga. Mmepata hasara mwaka jana £70 million na mmenunua hivi sasa wachezaji kwa bei ya £70+ million kwa nini (a) Mmepata hasara wakati mlipunguza wachezaji na kuuza baadhi ya vikongwe (b) mlishindwaje kuuza jezi za Drog the bar wakati mlikuwa mabingwa wa vikombe viwili (C) Mtawezaje kuuza jezi za Tor The res wakati hamtakuwa na ushindi wowote kwa mwendo mnaokwenda i.e. 12 matches with a win of 3 matches the ratio of 1:4

I mean you better be more realistic rather than crying all the time to uncle tom. Bundi haondoki hapo Darajani mark my words hata Acheni lote hajui ampange Tor The res wapi maana timu inapangwa na Abraham O Vich kwa ushirikiano mkubwa wa amanolo muuza unga mkuu kutoka Nigeria ... ..... wengine wanasema tunawaonea wivu, wivu gani huo wakati chichi tupo 5 points more than you at the moment, try Figure!

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 
New Look at Chelsea

--------Cech---------
Ivan-Alex/Luiz-JT-Cole
---Essien-Ramiles-Lamps--
---------Anelka-------
-----Torres-Drog--------
 
Hapo wakae makipa 3 Manone, Fabinsk, Almunia lazima kucheka na kulia yote makelele

Habari hii hapa chini kaka au umesahau ... .....

_50592718_fab_reu766.jpg

na nyingine hii .... .... ...

_50592719_walcott766_get.jpg

article-0-0C973AA3000005DC-619_634x333.jpg

Kuwa na adabu kwa wababe wako khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Alivyocheza jana Anelka siwezi kuamini ataanzia bench! Wapenzi wengi wangependa kuona £ 50 Mil striker anaanza. Kuweza accommodate Torres mmoja wapo kati ya Drogba na Nic lazima aanzie bench. More likely Didier sababu ya kiwango duni cha sasa alichonacho.

Hebu ona anavyopendeza na uzi wa blue

http://www.chelseafc.com/page/LatestNews/0,,10268~2282230,00.html

Blue for life

You're right, hata mimi napenda kuona DD akianzia bench kwa kiwango cha sasa. Lakini nina hisia kwamba Carlo ataona ni mapema mno kwa Torres kucheza mechi yote tena dhidi ya Liverpool, vyovyote itakavyokuwa nitafurahi sana akiwapiga bao hao bitter Scousers.
 
Kweli J pili itakuwa vita, kwa kwa jinsi Torres alivyopania lazima apeleke kilio Anfield
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom