Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimepitia kuwasalimia tu "The Blues". Wazima lakini?
Wazima wa afya kaka ila hali mbaya kidogo.Vipi na huko utokako wazima kweli? Coz Wend haikuwa muzuli,kuna ile maneno ya daraja kuvunjwa,mashetani kuliwa na mbwa mwitu,na ile jamaa yangu inayoshika shika gobole ikashindwa kulenga ile kopo ya castle.

Wasalimie utakapo rudi kwenu,coz sina uhakika kama nitapita kule kuwajulia hali,niko bize kidogo natafakuli ile mambo ya jumamosi ijayo (12:45 GMT: Manchester United v Manchester City :Old Trafford). Huenda watu wakala bata tena.
 
SPLASH-DROGBA_1247623a.jpg

DROGBA_1247410a.jpg

Title woe .... .... Drog the Bar admit dream is fading .....

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

DIDIER DROGBA says he has never known such a miserable mood at Chelsea after Liverpool extinguished their last hope of retaining the Premier League title. The Ivory Coast striker declares that Kenny Dalglish's men "cut our legs away" when they won 1-0 at Stamford Bridge on Sunday. And Drogba admits that everyone at the club is struggling to come to terms with being also-rans. He admitted: "I am finding this bad spell hard to live with - and I am not the only one. "The whole squad is suffering because you have to remember that no one at Chelsea is accustomed to losing so many matches. "Carlo Ancelotti has not been happy with us in recent weeks and all the injuries, the poor results and the lack of goals have created a bad mood around the place. "For my own part, my performances this season have suffered because of injuries and because of the malaria I contracted at the end of last year."

article-0-0C974C32000005DC-871_306x503.jpg

We don't have legs for glory .... ....

Khe khe kheeeeeeeeeeeee bundi kalia ... khe kheeeeeeee
 
Naona watu kibao wanampa macho,but kocha wake wa zamani hataki hata kumtazama.
Japokuwa anawaza . “Huyu kijana ngoja azoee hali ya darajani na kocha wake nafikiri anatafakuli position nzuri ya kumchezesha kija huyu.Problem sijaona mtu wa kumchezesha huyu jamaa kwa sasa pale Chelsea .Ila akipatikana itabidi tuwe tunamundalia mabeki wawili wawili.Ila leo nimemuweza siumeona mwenyewe style yangu. Itabidi niwe nacheza kila siku hivi hivi especially huyu kijana atakapochezeshwa.Anyway tusubiri.But tatizo la vijana wangu huwa wana kamia sana gemu tunapokutana nahawa jamaa.Utaona next match tunafungwa au tuna droo tena na katimu kadogo tu. Inanikera kweli tena si kidogo, Alafu hivi tutacheza CPL kweli mwakani? Anyway wacha niko concentrate na gemi”.
 
Najuta kuamia chelsea kama ningejua ningebakia liverpool the team which is very special to me. I will always be the fan of the reds although nimefuata fedha chelsea.
 
Giro,
don't worry, be happy, that is the game. May be match zilizobaki watashinda.... Natamani Asernal wapotee ili huyu Wacha1 na ndugu zake akina Mbu, Madaso, Wenger and the co wahamishe kijiwe Imarati. Dah wanasumbua saaaana hapa.

Hivi Sanda Matuta upo?
 
Usipate sana homa ya macho jamaa yangu.Hawa vijana watapoteana soon tu, tuwape muda kidogo hivi,Jumatano iko mambo pale kwao.Inabidi wafanye Checkup ya kufa mtu ya gobole lao lasivyo watapoteana porini ile kichizi jtano. Gobole limeanza kukorofisha since last jmosi,ninahisi limeanza kupata kutu au limeishiwa ile kitu inaitwa masase. Babu anahaha ataepuka vipi ile kitu mbaya iliyofanyiwa Madrid. Thus,kuna possibility vijana wakaliwa na mbwa mwitu jmosi.
 
Mkuu Wacha donge its just a game sio kwamba nikikuona sitakupa bia na mtori . .... .....get a life! khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee usiwe kama jamaa hapa chini jinsi anavyolalamika khe khe kheeeeeeee

Usipate sana homa ya macho jamaa yangu.Hawa vijana watapoteana soon tu, tuwape muda kidogo hivi,Jumatano iko mambo pale kwao.Inabidi wafanye Checkup ya kufa mtu ya gobole lao lasivyo watapoteana porini ile kichizi jtano. Gobole limeanza kukorofisha since last jmosi,ninahisi limeanza kupata kutu au limeishiwa ile kitu inaitwa masase. Babu anahaha ataepuka vipi ile kitu mbaya iliyofanyiwa Madrid. Thus,kuna possibility vijana wakaliwa na mbwa mwitu jmosi.

Dua la kuku halimpati mwewe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hao Wolves ni wateja wetu .... .... ... khe khe

Naona unawaogopa sana Barca waulize wenyewe wanasema nini chichi ngoma kama kawa unakaribishwa J5 ijayo Emirates uje kushuhudia Kitale au wengine huita soka au kabumbu siyo butuabutua yenu. Mwaka huu utakonda sana chichi tinachonga mbele utaendelea kusubiri kwa sanaaaaa tu muulize Mungiki Brother imebidi arudi kibera mambo ya kuwa Invisible yamemshinda na hata wale Peasant's waliokumbwa na kimbunga cha Elnino nao vile vile mambo yamekuwa magumu , imebidi wamwombe Rev Kishoka kwa sala lakini Bundi hataondoka Darajani hivi karibuni. Nyie Manure mlifikiri kutofungwa kwa msimu mzima ni mchezo wacha tushehereke maana tunafahamu unafurahia matunda unayopanda.

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee

Chelsea-v-Liverpool-John-Terry-officials-FT_2559665.jpg

Muuza unga analalamika khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

alibugia mwingi sana khe kheeeeeeeee
 
Hebu ngoja kwanza Barca wamtulize Huyu Jamaa Wacha1 and the co. Natamani kutembelea Imarati ila bado jamaa wanafanya vizuri! Anyway, mkifungwa nitapiga kambi kulee kwa Wenger
 
Hahahaha jamaa wa Loserfool bado inawauma Torres kuondoka?!! Mbona mabandiko kibao ya Nando kutoka kwao?!

0,,12306%7E9399892,00.jpg

06 February 2011, Chelsea 0 - 1 Liverpoo

Torres who???????????????? hapo Maxi anamwambia lazima niwanyoe leo.................
 
......And there was Torres saying Liverpool are not ambitious and he wants to play for a team that wins the
Champions league blah blah. I wonder how many Champions league Chelsea Clinton FC has won, compared to Liverpool. Reminds me of Michael Owen, who killed his career by trying and failing to win the Champions League with Real only for the Reds to win it without him! Long Live Liverpool!!!
Money can never buy history, tradition and glory!!

All Loserfool have is history without a future, you can stick your fukn history up your ass!
 
0,,12306%7E9399892,00.jpg

06 February 2011, Chelsea 0 - 1 Liverpoo

Torres who???????????????? hapo Maxi anamwambia lazima niwanyoe leo.................

You're just a mid table team, no CL footy, the main ambition is to stay in the EPL. By the way, mbona mnalialia sana baada ya Torres kuondoka mnampa matusi kibao??! Mbona washabiki wa Newcastle hawamtukani Carrol wakati case zao zimefanana? Au ndio bitter Loserfools kama kawaida yenu?
 
Hilo tuliliona na ndio maana kocha hakuwapanga wa geni ili adhihirishe kuwa Liverpool wanaweza kufanya vizuri bila ya Torres.
 
Hilo tuliliona na ndio maana kocha hakuwapanga wa geni ili adhihirishe kuwa Liverpool wanaweza kufanya vizuri bila ya Torres.

Haujajibu swali langu, unafikiri kwanini washabiki wa Liverpool wanamtukana Torres kwa kuhama lakini washabiki wa Newcastle hawajamtukana Carroll??!! Kwa ufupi washsabiki wa Liverpool wamedhihirisha ni jinsi gani walivyo bitter kuliko wa Magpies, kumbuka Carroll ni mzawa wa Newcastle tofauti na Torres wa kuja tu hapo Liverpool.
 
Kumbe wajua?!!....Kweli vya bure vina gharama, anayebisha amuulize Arsene Wenger kwa miaka 6 iliyopita wachezaji wa bure wamemfanya nini.....khe khe kheeeeeeeeeeeeeee

Bora ungenyamaza hivi Emirates utalinganisha na kiwanja chenu pale darajan? Je, ulitoa kiasi gani kununua Emirates? Mwambieni Abraham O Vich awajengee kiwanja kwanza ndio muanze kusema. Na sasa mnagombania nafasi na Spurs na Mancs vijana wamewatimulia vumbi. your history ni kuiba wachezaji from cashcole to Tor the res, ni lini mtaacha kuuza unga na madawa ya kulevya? Mmemchukua Amanolo specifically kutoka Nigeria kuona hiyo biashara haramu inatawala pale Darajani. bundi haondoki huyo mnaye tu. khe khe kheeeeeeeeeeeeee

BTW kuhusu wachezaji nitajie mchezaji hata moja tu ambaye ni wa bure pale arsenal? Hiyo ndio tunasena donge hilo liko kooni limeze tu, baada ya kukutungua pale Emirates sasa umekuwa unawanga tu khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee

article-1313270-0B2EF838000005DC-562_634x426.jpg

article-0-08BEFD15000005DC-709_468x504.jpg

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeee chacha njomba tafuteni kocha toka Nigeria

aje uza unga zaidi khe kheeeeeeee
 
1. Wachezaji wenu karibu wote ni wa bure, kwa kuwa umesema nimtaje mmoja sawa twende kazi, Marouane Chamakh

2. I'm not ashamed to concede that Emirates is better than Stamford Bridge stadium. The main problem is that Emirates is always filled with Prawn sandwich brigade of the home plastic fat Arse fans, NO ATMOSPHERE AT ALL, GIVE ME STAMFORD BRIDGE ANY DAY.

3. Kuhusu lini tutaacha kuuza madawa, mpaka pale Paul Merson na Tony Adams watakapoacha kutumia maana ndio wateja wetu wakuu. Kama na wewe unatumia niPM nikushushie mzigo.
 
Khe khe kheeeeeeeeeeeeee mpira mmeshindwa sasa maneno mengi kama pilipili manga. Free transfer does not mean free kama ni hivyo Michael Ballack mlilipa kiasi gani? Mkuu wachezaji wenu wengi walikuwa mizoga kwenye timu nyingine ndio maana wapo kwenu.

BTW sio wewe ulikuwa unapinga kwamba hamuuzi madawa ya kulevya? Kama kawa, kama huoni uozo wa Stamford bridge utajuaje uzuri wa Emirates. Endeleeni kula makombo ya Abraham O Vich hata siku moja hamuwezi kuwa mali kitu.
 
Rev kishoka njoo msaidie huyu jamaa hapa chini .... .... anataka kutubu dhambi za darajani ... .... ...

didierdrogba_1248727a.jpg

khe khe kheeeeeeeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom