Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

CHELSEsplash_1230836a.jpg

Hongereni wakuu tunawatakia fanaka chacha tutakuwa marafiki

msisahau kuwabangua Manure twice ili chichi tuchukue ubingwa kilaini

khe khe kheeeeeeeee
 
Duh! Kufungwa kubaya chijui mashabiki wa hiki kijiwe wako wapi? Wanalipia gharama za umafia wa kina JT na Lamps, Abraham o Vich et al ....... ..... hata Tunisia jamaa kakimbia yaani kawa mkimbizi khe khe kheeeeeeeee

Its just football .... ..... .... .... Invisible, Rev Kishoka, Sanda matuta mwanzilishi wa hiki kijiwe, Peasant na Rev Masanilo(Siwapendi hawa wawili ndio sababu nimewaweka kolokoloni kwa sababu ya matusi) Lakini naona wamejirekebisha kidogo nitawapa uhuru ie. msamaha khe khe khe lakini sio leo baada ya Mwezi moja.

Ooops nimemsahau Elnino pamoja na MB who who hwoooooo ..... .... Bundi kalia!
 
Kweli chelsea siku hizi kimeo...yani hadi wachezaji wa kawaida wanapick timu nyingine over chelsea. Ref to Steve Pienaar.
 
tawny%20owl_300_tcm9-142525_v1.jpg

Chelsick have failed to sign a player for £3 million khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee Recession bab-kubwa .... .... ..Bundi haondoki kwenye makuti.
 
tawny%20owl_300_tcm9-142525_v1.jpg

Chelsick have failed to sign a player for £3 million khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee Recession bab-kubwa .... .... ..Bundi haondoki kwenye makuti.
Mkuu hapo umenivunja mbavu,inaonekana hawana mpunga wa kuwahonga marefarii msimu huu ndo maana wanakula mkong'oto kila wanakoibukia,wawaachie Manure wazee wakuandika cheque kwa marefarii,lakini na wao msimu huu inakula kwao.

Kweli chelsea siku hizi kimeo...yani hadi wachezaji wa kawaida wanapick timu nyingine over chelsea. Ref to Steve Pienaar.

Anataka mshahara mkubwa wakati akija Chelsea huyo ni squad player tu, tunataka mchezaji anayeweza kuongeza something missing kwenye timu kwa mshahara anaotaka Pienaar. Na pia ameangalia possibility ya kupata namba akaona ni rahisi Spurs kuliko Chelsea, hata ningekuwa mimi ningekimbilia Spurs, Chelsea kuna mashine nyingi ni form tu ndio inasumbua.
 
nadhani umeshuhudia hao hao sunderland wwa kiwawpiga the big broooooz tatu mtungi na ASSAMOAH THE AFRICCAAN akiwadondoshea daraja vichwani mwao???????:welcome:
 
Kweli chelsea siku hizi kimeo...yani hadi wachezaji wa kawaida wanapick timu nyingine over chelsea. Ref to Steve Pienaar.

Pienaar ameona mbali, angalia Yossi Benayoum anavyouchezea ubao these days compared na alivyokuwa anaichezea Liverpool!

400_x_300.jpg
 
...ha ha ha!...bundi wenu ananivutia!
hongereni kwa pwenti tatu leo,
mlikuwa mnaikataa dripu, mnaona inavyosaidia?

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee Lamps naona wamemrudisha kwenye drip. naona anakuwa kama Robert Mugabe aliyerudishwa Malay kwa matibabu vu bin hapo.

Wakati Drog the bar anabwabwaja hovyo na kusema hawawezi kushinda chochote bali wawe na ndoto ya kushinda mechi mbili mfululizo .... .... hiyo ndio what's up mate? Au wengine huita Cech mate! Oops check ... ... ....
 
Pienaar ameona mbali, angalia Yossi Benayoum anavyouchezea ubao these days compared na alivyokuwa anaichezea Liverpool!

400_x_300.jpg

Duuh! Kwanini usifanye uchunguzi kabla ya kuandika bro?! Taratibu rep yako inadrop mkuu. Yossi Benayoun ni majeruhi kwa muda mrefu sasa, na hatarajiwi kupona karibuni. Unatunga habari za kizushi kama wazee wa CCM....LOL
 
Benayoun blames Blues

.jpeg

Yossi Benayoun last night accused Chelsea doctors of missing his Achilles tendon injury after being ruled out of the game until Easter.
The Israeli midfielder faces six months on the sidelines after it took the Israeli FA's doctor to spot the injury missed by Blues medics.
While Benayoun has not played since picking up a calf injury in last month's Carling Cup defeat by Newcastle, it emerged that he has been troubled all season by the Achilles problem.
But the £5million summer signing from Liverpool has publicly pointed the finger at Chelsea's medical staff for the misdiagnosis that seems set to wreck his first term at Stamford Bridge.

Sasa ulipokuwa unasema anachezea ubao ulikuwa na maana gani! Punguza kutunga habari mkuu, ndio udaku wenyewe huo.
 
Duh! Hii thread bila kubebwa na mashabiki wa Arsenal ingekuwa imekufa bora tunaiwekea drip ingawa Drog The Bar anataka kukimbia maana mambo yanakuwa mazito ..... .... hata hivyo wachezaji wengi wa Chelsick wamekwisha kutupa taulo ndani ya ulingo Mwezi January ..... ......

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 
Sasa ulipokuwa unasema anachezea ubao ulikuwa na maana gani! Punguza kutunga habari mkuu, ndio udaku wenyewe huo.

images

ha haha!...dah, mbona umeishikia bango sana hii? calm down man, it's only a game!
 
images

ha haha!...dah, mbona umeishikia bango sana hii? calm down man, it's only a game!

I know very well that it's only a game, lakini hiyo haimaanishi tuwe wazushi na waongo. Naona ulitaka nikae kimya ili story yako ionekane ina ukweli ndani yake ndio maana unahisi kwamba nimeikomalia, wewe ndio umeikomalia na hata bila aibu kuleta ushaihidi amabao umeonyesha jinsi gani ulivyo mzushi....I was just trying to put the records straight....na ninajua how hard it is to put the records straight when dealing with the Arsenal fans sababu ndio mnaongoza hapa jamvini kwa kutunga story za kizushi. Try harder next time....lol
 
...peace man,

I was wrong. You are right Peasant.
Am deeply :disapointed: sorry kwa wapenzi wote wa CHELSEA
wote mlikwazika na posting yangu ya YOSSI BENYAOUM.

Tuendeleze libeneke...
Nawaombea matokeo 'nanihii (ya ki-bundi bundi!)...' kwenye game ya leo Vs Bolton.
:ranger: Pamoja!
 
Peace man, always!
Hahahahaha, nashukuru kwa maombi yako ya kibundibundi kwa mechi ya leo....lol
 
Ten games two wins kazi kubwa! Who's next to catch the malaria virus ........ .... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

tawny%20owl_300_tcm9-142525_v1.jpg

Whooooo ... .... who.. who ... .... ..... whooooo ... .... who .... who ....
 
Its 1-0 so far......Chelsea kwa sasa wanalook so alive......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom