Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

BREAKING NEWS:chelsea have agreed fee with real madrid foe the sale of RICARDO CAVALHO........
 
Huyo Carvalho wamemuuza kwa hasara.
El Nino naona unajifariji kwa mechi za reserves lol...!!
 
BTW; Braza Ab Tchaz a.k.a Super Mod wetu yu wapi?, au kahamia kwa Mama Obama kimoja, manake alivyomganda mama wa watu, ipo siku SS watamrudisha kwao Tbr..Lol!

Naacha kwanza mupige lonzo kisha mhuni na nyatia tu ado ado!!!...:becky:
 
Huyo Carvalho wamemuuza kwa hasara.
El Nino naona unajifariji kwa mechi za reserves lol...!!

Wakuu, sale ya Carvalho Madridi ni bingo kubwa kulinganisha na umri wake (32) na kiwango chake cha soka. Majeruhi yaliyomwandama misimu miwili iliyopita amejikuta akiwa nyumba ya JT, Alex na Inovanic kwenye selection order ya Central defenders position kwenye Club. Si yule Carvalho ambaye alitamba akiwa Porto na Chelsea msimu wa 2004 na 2005.

Pia ukizingatia Chelsea tuna dogo Michael Mancienne ( Hajulikani sana) mwingeleza ambaye anatabiliwa kurithi mikoba ya JT baadaye, Amerejeshwa kutoka loan ambako amekuwa akitumikia kwa miaka takribani miwili hivi. huyu naye anacheza the same position.

Mi naona hamna tatizo na ndiyo maana chelsea imeona ichukue hizo 6.6m pounds ambazo wanaweza kupata mchezaji mdogo wa bei hiyo

So far i support this sale - same as Deco mimi naona na yeye pia aruhusiwe kuondoka hana nafasi pale kwenye midfield yetu iliyojaa viwango lukuki.
 
Huyo Carvalho wamemuuza kwa hasara.
El Nino naona unajifariji kwa mechi za reserves lol...!!
Hasara kivipi mkuu?! Ulitaka tumuuze kwa bei tuliyomnunua au zaidi? Kumbuka tumemnunua akiwa na miaka 26 na sasa ana 32, ametupa vikombe 3 vya Ligi, 2 vya FA na 2 vya Carling cup! You can't ask for more.
Thanks for your wonderful service Mr. Carvalho, and I wish you well in your future career.
 
Ni sawa kumuuza but mtafute beki mwingine,naona Anceloti anataka kujenga timu yake
 
Ni sawa kumuuza but mtafute beki mwingine,naona Anceloti anataka kujenga timu yake
Hata tusiponunua bado tuna central deffenders wa kutosha, Terry, Alex, Ivanovic, Bruma, Mancienne na Hutchinson.
 
Hata tusiponunua bado tuna central deffenders wa kutosha, Terry, Alex, Ivanovic, Bruma, Mancienne na Hutchinson.
Mkubwa John Tery siku hizi kashaanza kuwa mzigo,Ivanovic sio mzuri pembeni hao watoto kina Bruma,Manciene,Hutchson bado sana ,sijawhi kuona hata siku moja wakicheza labda kwenye reserves
 
Baada ya kukosa udiwani umeamua kuwa mchungaji,naamini uchaguzi ujao Mchungaji mwenzio atapigania ili ugombee kama mgombea binafsi
 
Mkubwa John Tery siku hizi kashaanza kuwa mzigo,Ivanovic sio mzuri pembeni hao watoto kina Bruma,Manciene,Hutchson bado sana ,sijawhi kuona hata siku moja wakicheza labda kwenye reserves

Belo,

Hatchson, Bruma na Manciene wameshacheza games chache ingawa huwa hawamalizi 90minutes, Terry bado ni kifaa mkuu hapa tuondoe ubishi. Kweli Ivanovic si mzuri sana pembeni sababu yeye ni natural central defender - lakini kumbuka Bosingwa atakuwa available for selection in next three to four weeks, pia Ferreirra ni mchezaji mzuri upande huo huo kwa kulia ingawa cross zake huwa siyo classic.

Nafikiri Ancelloti ameamua kuwa trust hawa madogo, ni vizuri kwa club kutotumia pesa nyingi sana kuwanunua mastaa - hata mimi nina faith kubwa na hawa madogo - mchezaji kama KAKUTA - ni world class.

Kwa ujumla timu haiko fiti ni kweli na hizi games tano za mwanzo wa ligi Chelsea ijiangalie sana isipoteze points nyingi.
 
Achana na B.E.L.O nadhani amelewa!
 
...hapa kuna nini tena? oooh sorry nilisahau kumbe ile mambo yetu imeshaanza...eeeh! naona wengine hapa wameanza kwa kuokoka......! mzee wa upako Rev. Masa boy sijui mwaka huu unatokaje hapa.....!
 
EL NINO mna tatizo kwenye central defence na GK kitu cha msingi Anceloti kwa sasa anatakiwa awape nafasi hao vijana wapate experience,JT kwa sasa sio wa kumtegemea since alivyopata ile scandal na kuvuliwa unahodha kiwango kimetetereka ila itategemea atacheza na nani hapo kati

mASANILO tangu amekosa udiwani akili bado haijatulia
 
Kachukue nafasi ya Ray Wilkins !
 
...hapa kuna nini tena? oooh sorry nilisahau kumbe ile mambo yetu imeshaanza...eeeh! naona wengine hapa wameanza kwa kuokoka......! mzee wa upako Rev. Masa boy sijui mwaka huu unatokaje hapa.....!

Kama kawaida sisi ni bakora tu kila atakaye leta pua!
 
chicharito

Santos striker Neymar agrees move to Chelsea
gallery

Santos starlet Neymar has agreed to join Chelsea in the next few days, according to latest reports.

Folha de Sao Paulo claims that in a meeting held in New York the decision to allow the Brazilian international striker to leave Santos was finalised.

It's been reported that the meeting was held in the presence of the player, his father, agent Wagner Ribeiro, Santos president Luiz Alvaro de Oliveira Ribeiro, Chelsea chairman Bruce Buck and agent Pini Zahavi. Neymar agreed to sign for the Blues, who will pay Santos €25 million (£20.7m).

Neymar has been the target of Chelsea all summer and at one point it appeared that the move had fallen through when Santos officially rejected a €20 million (£16.5m) bid from the English giants. However, with Neymar having agreed to put pen to paper, it now appears that an official announcement will be made in the next few days.

goal.com
 
EL NINO mna tatizo kwenye central defence na GK kitu cha msingi Anceloti kwa sasa anatakiwa awape nafasi hao vijana wapate experience,JT kwa sasa sio wa kumtegemea since alivyopata ile scandal na kuvuliwa unahodha kiwango kimetetereka ila itategemea atacheza na nani hapo kati

mASANILO tangu amekosa udiwani akili bado haijatulia

BELO umeongea point, ki ukweli GK ni tatizo naomba sana CECH awe fiti Jmosi. Kuhusu JT tangu ile soo bado hajarudi form yake mia kwa mia lakini akipangwa na ALEX combination inakuwa safi. Bado nina imani na back four yetu.

Kuhusu Rev. Masanilo mwache apumzike si unajua mambo ya siasa yalivyo mkuu, kuna vitu vingi sana humo ndani yake. bila kuwa na roho ngumu kama ya jiwe basi unaweza kujitoa na ukaichukia milele. Mimi nampa moyo ajipange upya next time.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom