Guantanamo Sobibor
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 897
- 1,133
Anampendea nn huyu??
Cahill amekua akishutumiwa sn lkn ktk game ya Roma mbona jamaa hakufanya makosa yoyote? Tena alipokua uwanjani aliweza kuwaongoza vzr wenzake alipotoka tu team ikawa poor![]()
Hofu yangu ni, akianza Cahill huenda Azpilicueta akapangwa wing tena!
Naona ajili zinaanza kuwarudiaHawa watu wawili nao inabidi waongeze bidii...
![]()
![]()
Uchambuzi mzuri, ila jana kuna fununu zimetoka kuwa uzembe wa wachezaji wetu kutocheza kwa moral kwasabab ya kutizama vibaya kitendo alichofsnyiwa costa hvo kuna kama kamgomo fulan ka wachezaji..Date: 31st Octo
kiongozi, mechi ya jana kwa sisi wana blues tunaoijua team vizuri tulivoona tu LINEUP tulijua tunafungwa goli nyingi ila idadi ndo haikujulikana. kwasababu zifuatazo
1. kiungo-kumuweka fabregas+bakayoko ambao wote wanacheza kama wanalazimishwa VS viungo strong wa roma. drinkwater alitakiwa aanze na bakayoko na fabregas akae benchi.
2. beki-cahili hastahili kuwepo kwenye 1st11 nadhani mliona hadi akaamua kumtoa dakika ya 51 ku avoid further damage. weka[LUIZ+RUDIGER+AZPICULETA].
3.Marcos Alonso kashuka kiwango hastahili kuwepo kwenye 1st11 insteady muweke KENNEDY dogo anajituma.
4.Azpculeta kucheza wingback insteady of zappacosta ni tatizo kwa conte. weka zappa mtu ambaye kazoea namba yake.
Je mkuu unazan shda kwnye timu kwasasa ni mfumo au mchezaji mmoja mmoja..??Mimi ningefanya mabadiliko mawili kwenye kikosi chako.
Azpilicueta, Christensen, Luiz
Alonso, Drinkwater, Fabregas, Zappacosta
Pedro, Morata, Hazard
Kumekua na habari za uongo na uvumi wa uongo unaovumishwa kwa makusudi ili kuivuruga Chelsea isiwe ktk track imara. Na wakati mwingine vombo VA hbr vinatangaza uvumi kwa makusudi kwa malengo ya wao kuuza hbr zao mana Chelsea ndio hbr ya dunia sio Madrid au nani na pia wanatoa taarifa kwa makusudi ili kulete migogoro ndani ya team.Uchambuzi mzuri, ila jana kuna fununu zimetoka kuwa uzembe wa wachezaji wetu kutocheza kwa moral kwasabab ya kutizama vibaya kitendo alichofsnyiwa costa hvo kuna kama kamgomo fulan ka wachezaji..
Pili inasemekana sahv abromovich haoengei direct na conte kisa performance mbaya.. conte bado analaumu uongoz wa chelsea kutomkubalia kusajil wachezaj wa kutosha msimu huu..
Mi bnafs nikiwa mshabik wa bluz nakubaliana na hoja zote hapo maana si kwa chelsea nnayoijua kucheza chn ya kiwango hvo..
Tumejaza mastaa kbao ila ni kama tuna wazee mule ndan
Mkuu totenham, ni timu nzuri sana imekamilika idara zote na wachezaji wake wapo very enegetc na wenye moral nzuri...Dah jamani tuache utani, kwa tuliobahatika kucheki game ya Tottenham...dah aisee utawatamani. Nimewaonea wivu kwa mpira walioutandaza.
Game ile ingekuwa Conte lazima angezidisha defensive players waishie na kufungwa. What a game aisee...mwanzo mwisho..very few mistakes.
Kwa kazi waliyoonesha kina Trippier na Wilks nadhani Conte pia aanze kumuangalia Kenedy zaidi nafasi anayocheza Alonso.
Kwa Musonda unaweza kuelewa kuwa Musonda anacheza namba ambayo wachezaji wengi wazuri zaidi yake wanaweza kucheza mathalani Willian na Hazard. Tena hata Fabregas anaweza kucheza.
Ila kwa Kenedy sijaona sababu kwa nini hamuweki kumchallenge Alonso. He needs more games kuongeza kujiamini na kuelewana na wachezaji wengine. Hawa ndo madogo watakaocheza kwa kujituma na wanaweza kuwa nasi kwa muda mrefu.
Mchezaji mmoja mmoja na kwa kifupi ni kwamba baadhi ya wachezaji ile njaa ya ushindi au upambanaji imeshukaJe mkuu unazan shda kwnye timu kwasasa ni mfumo au mchezaji mmoja mmoja..??
Nadhani haya maneno hapa ndiyo ya msingi sana sana..Kitu kingine wachezaji wa Chelsea wameacha kujituma. Wao wanafikiri lile jina la Chelsea linatosha kumfanya adui aogope na ashindwe. Yani wao bila kujituma uwanjani na kupambana hawawezi kushinda
Jambo jingine wachezaji hasa washambuliaji wamekosa ule uchu wa kushinda au kufunga magoli, mids zinajitahidi kuwafikishia mipira lkn hawafanyi vitu va maana.
Lkn tukisema eti pengo la Kante au Chelsea inaundwa na keyplayers wakikosekana hao inasuasua tutakua tunakosea. Makosa ya wachezaji wengine wasitupiwe wengine.
Nimekua napita kimya kimya sasa nikaona niwaachia salamu.
Asalaaaaaam.......![]()
![]()
![]()
Ndiomana nimesema huu uchambuzi wa Ntuzu ndio majibu tosha ya kwann Chelsea ni mbovu.. Soma hapa chini vizuri..mkuu kikosi ni kizuri ona spurz hawajafanya usajili wa kutisha ila pochetino ni mbunifu anawaamini wadogo kama[winks+trippier+sanchez+etc] ona wanavofanya kazi hadi madrid na viungo wao akina modrid+casemiro+alonso walipoteana kwa watoto wadogo akina winks+dier.
kwanini conte asimpange Kennedy namba ya alonso??????? alonso anacheza kama bado yupo sunderland.
tuna vijana wazuri sana akina[KENNEDY+ANDREAS+MUSONDA+SCOTY] so why asiwape nafasi kama pochetino afanyavo?????
anakumbatia watu wasio na morali wanacheza kama wanalazimishwa.
Ila nazan huu utaratibu wa kukuza vpaji hauezekan chelsea maana bos na management ipo kibiashara zaidi kutaka mafanikio ya harakaharaka ya papo kwa hapo..POCHETTINO kani impress sana alivoitengeneza spurz hasa kwa kukuza vipaji na kuwaamini vijana.
hata jana nilijua madrid anafungwa kwa jinsi spurz walivo motivated
Ila sisi tunaongoza kutoa wachezaji kwa mikopo.
HIVI UNAJUA CHELSEA TUNA VIKOSI VITATU TUMEVITOA KWA MKOPO?????? meaning wachezaji 34
Labda ashinde njaaMechi ya kesho chelsea anashinda?

Mbona naona ushindi njeeLabda ashinde njaa![]()