HIVI Inakuaje kocha CONTE hayaoni matatizo ya team ambayo yapo wazi hadi sisi mashabiki tumeyaona kwa mda sasa??????
1.ALONSO-kiwango kimeporomoka anaendelea kumpanga wakati kuna kijana wa kibrazil kennedy ni mzuri na anaku ofer vitu vingi
2. Cahili kuwa team captain wakati hastahili hata kukaa sub.
3. Azpiculeta hawezi wingback mpange sehemu anayokuwa confortable.
4. Fabregas mwaka jana hakuwa anacheza na tulikuwa tupo vizuri katikati[kante+matic] una drink water mtu wa kazi fabregas mhenga wa nini?????? fabregas is a liability and he is punishing us.
5. Bakayoko-huyu bwana ni mzito anatakiwa afanye sana zoezi la pumzi na kukimbia.
YAANI SISI FANS TUONE MATATIZO KULIKO WEWE UNAEKAA NAO MDA MWINGI??????