kodian
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 977
- 1,106
Ww ndo kabisa huvuki round inayofuata hata upangiwe kitim kdgNa Mukidondokea Nafasi Ya Pili tu Katika Group lenu! Dadeki Nyie na PSG uso kwa uso Knockout... Hapo chacha hapo!!!
Ww ndo kabisa huvuki round inayofuata hata upangiwe kitim kdgNa Mukidondokea Nafasi Ya Pili tu Katika Group lenu! Dadeki Nyie na PSG uso kwa uso Knockout... Hapo chacha hapo!!!
Hua unapigwa 4-0 tena msimu ulioptaMkuu hebu tupe uchambuzi wako kuhusu mechi ya jana😀😀
Kwa miaka mingi Chelsea inaundwa kutegemea key players ambao wakikosekana timu inapata taabu sana kwa sasa Kante ni big loss kwenye timu ya Chelsea yeye ndio anafunika makosa ya wengi(midfielders& defenders) na kuwafanya baadhi ya players waonekane vizuri Conte anapata taabu sana sababu Bakayoko,Fab,Drinkwater uchezaji wao na workrate zao ni ndogo ukilinganisha na Kante wote wanacheza vizuri wakicheza na Kante
Matatizo makubwa yanaanzia kwenye kiungo ndio maana timu inashambuliwa kirahisi.Ukichezesha viungo 3 unakuwa na advantage ya kuwapunguzia mabeki mzigo na kuwachezesha sana 3CB unawafanya wanajisahau/wanategeana na umeona kosa la Rudiger mpira umepigwa anauangalia hana pressure anadhani wenzake wataokoa
Some players viwango vimeshuka sababu wanachoka kucheza mechi nyingi unlike last season ambapo walicheza mechi chache
Ww ndo kabisa huvuki round inayofuata hata upangiwe kitim kdg
Chelsea hatufungwi kwa sababu ya mfumo ,Mimi nikiona lineup tu naweza kujua mapema kuwa Kama tutafungwa , Mechi vs man city ukiangalia lineup tu unajua hapa hakuna hata shot on target tutakayopata, juzi vs Roma lineup tu unajua hakuna clean sheet .
Kwa mfano next match vs man utd akipanga luiz ,rud na Cahill kwenye back 3 lazima man watapata goli, ukiacha majeruhi ila lazima tukubali kuna wachezaji wana underperform Sana msimu huu akiwemo Cahill na Azp name unfortunately Hawa ndio Conte anawapenda kuliko. Ikitoka lineup at jumapili nitakuja kuweka prediction yangu ambayo najua itakuwa 80% correct
Huna uwezo huo na huna beki ya kuzuia washambliaje ww jidangnyeHivi Mpaka Leo Hujajua Liverpool EPL atamalizia Nafasi ya 6 lakini Ndiye Bingwa wa Champion League Msimu Huu wa 2017/18 ?
Basi Nakwambia Tunza Comment hii Mpaka Mwezi wa 5 nitakapochukua CL Cup..
Huna uwezo huo na huna beki ya kuzuia washambliaje ww jidangnye
Timu yeyote sio Chelsea tuKwa miaka mingi Chelsea inaundwa kutegemea key players ambao wakikosekana timu inapata taabu sana kwa sasa Kante ni big loss kwenye timu ya Chelsea yeye ndio anafunika makosa ya wengi(midfielders& defenders) na kuwafanya baadhi ya players waonekane vizuri Conte anapata taabu sana sababu Bakayoko,Fab,Drinkwater uchezaji wao na workrate zao ni ndogo ukilinganisha na Kante wote wanacheza vizuri wakicheza na Kante
Matatizo makubwa yanaanzia kwenye kiungo ndio maana timu inashambuliwa kirahisi.Ukichezesha viungo 3 unakuwa na advantage ya kuwapunguzia mabeki mzigo na kuwachezesha sana 3CB unawafanya wanajisahau/wanategeana na umeona kosa la Rudiger mpira umepigwa anauangalia hana pressure anadhani wenzake wataokoa
Some players viwango vimeshuka sababu wanachoka kucheza mechi nyingi unlike last season ambapo walicheza mechi chache
Wew mwenyewe kilaza tuu embu toka uende kwenye uzi wako, usituchafulie uzi bwana.....Kwahiyo wewe unaekula 3 kwa Mtungi ndiye mwenye Beki Nzuri ama??
NAKWAMBIA LIVERPOOL NDIYE BINGWA TU
Ww tutolee viujinga iv yani ndio update zako iz alaaDate: 31st October 2017 at 8:30pm
Chelsea fans took to Twitter to slaughter Gary Cahill for his first-half display in their Champions League clash against Roma.
Two goals from Stephan El Shaarawy put the Italian club 2-0 up at half-time of the showdown in Rome to give the visitors a mountain to climb in the second period.
Cahill returned to the Chelsea starting XI after being omitted at the weekend when they secured a 1-0 Premier League win against Bournemouth.
The England international was selected on the right side of a three-man defence that also included David Luiz and Antonio Rudiger, flanked by wing-back pair Cesar Azpilicueta and Marcos Alonso.
Cahill was not directly at fault for either of El Shaarawy’s goals, which came after 42 seconds through a brilliant strike and then an opportunist goal after a Rudiger error.
But Chelsea fans took to social media en masse to lay into their 31-year-old most senior central defender.
This Is Futbol has rounded up some of the best tweets:
Cahill Luiz Rüdiger just doesn’t work
https://twitter.com/JaySnocky/status/925460144724484097
Jays Snocky @JaySnocky
Cahill is our worst captain ever ffs
11:31 PM - Oct 31, 2017
Twitter Ads info and privacy
https://twitter.com/_mrdj/status/925458504277733376
DAN @_mrdj
Each time Cahill start all these is normal. Lol
11:24 PM - Oct 31, 2017
Twitter Ads info and privacy
https://twitter.com/AaronWyn/status/925458509369630720
Aaron Wyn @AaronWyn
Didn’t play Cahill on Saturday & we didn’t concede, playing him tonight and we concede 2![]()
11:24 PM - Oct 31, 2017
Twitter Ads info and privacy
https://twitter.com/CKNX_Drury/status/925459458183938048
Ryan Drury @CKNX_Drury
No clue why Conte seems intent on Cahill over Christensen. And what Rudiger was doing I’ll never know. Horrid.
11:28 PM - Oct 31, 2017
Twitter Ads info and privacy
https://twitter.com/ChelseaCentric/status/925459469399678976
brad @ChelseaCentric
Replying to @Matt_Law_DT
Surely he’s being pressured to play Cahill..... he can’t willingly select him. 100% clean sheet ratio without him.
11:28 PM - Oct 31, 2017
Twitter Ads info and privacy
https://twitter.com/AdWojtkowiak/status/925459826012016640
Ad Wojtkowiak @AdWojtkowiak
Back five producing a solid performance on Saturday was dismantled to accommodate Gary Cahill. Let that sink in.
11:29 PM - Oct 31, 2017 · Dzierzgoń gmina, Polska
Twitter Ads info and privacy
https://twitter.com/brackstrider/status/925459848371765253
chepe @brackstrider
tell me why Gary Cahill is playing on the right side
11:29 PM - Oct 31, 2017 · Mata de Plátano, Puerto Rico
Twitter Ads info and privacy
https://twitter.com/IconicMusonda/status/925460018111139840
IconicMusonda @IconicMusonda
Cahill ain't at fault just de stabilises the defence completely
11:30 PM - Oct 31, 2017
Twitter Ads info and privacy
https://twitter.com/SimplyMount/status/925460119495815170
koby¹⁷ @SimplyMount
we don’t play cahill, we keep a clean sheet. we play cahill and we concede.
coincidence? i think not
11:31 PM - Oct 31, 2017
Twitter Ads info and privacy
Gary Cahill is actually a millionaire and must be the worst defender ive ever seen
— Sam Matthews (@sammatthews46) October 31, 2017
Moja ya vitu ambavo watu nashindwa kuwaelewa ni kuacha kuzungumzia makosa halisi au tatizo halisi na kurukia kitu kingine kukiongelea.Kwa miaka mingi Chelsea inaundwa kutegemea key players ambao wakikosekana timu inapata taabu sana kwa sasa Kante ni big loss kwenye timu ya Chelsea yeye ndio anafunika makosa ya wengi(midfielders& defenders) na kuwafanya baadhi ya players waonekane vizuri Conte anapata taabu sana sababu Bakayoko,Fab,Drinkwater uchezaji wao na workrate zao ni ndogo ukilinganisha na Kante wote wanacheza vizuri wakicheza na Kante
Matatizo makubwa yanaanzia kwenye kiungo ndio maana timu inashambuliwa kirahisi.Ukichezesha viungo 3 unakuwa na advantage ya kuwapunguzia mabeki mzigo na kuwachezesha sana 3CB unawafanya wanajisahau/wanategeana na umeona kosa la Rudiger mpira umepigwa anauangalia hana pressure anadhani wenzake wataokoa
Some players viwango vimeshuka sababu wanachoka kucheza mechi nyingi unlike last season ambapo walicheza mechi chache

Huyu Nae! 😀😀😀 eti vilema Kama Liverpool! Sijui Umeanza Kuangalia Mpira Mwaka Gani?? Kwani unakumbukumbu gani Kuhusu PSG na kukutana na Timu za Kiingereza.
Asimpange Bakayoko ampange nani? Au amuondoe Fabrigas amweke nani? Wenzetu waliosajiri vizuri wanachekelea, sisi tulijifanya kuuza Matic na kumnunua majeruhi Bakayoko. Moses bado hajapata mbadala kabisa. Alonso hana backup,Mbele yuko Hazard peke yake Morata sijui bado ni armstring au nini... Mtamlaumu Conte lakini ukweli unabaki kwamba tuna kikosi duni. Wachezaji ni Kante, Azpilicueta, Hazard, na Moses na Alonso kidogo.Hivi conte anawapanga bakayoko na faregas pamoja? Wote ni wazembe kukaba, halafu anampanga Cahill na kumuacha yule dogo beki, zapacosta unamwacha, huyu atafukuzwa tu si muda mrefu. Tunafungwa na timu kizembe sana jana, baadhi ya wachezaji ni wachovu, morata akiguswa analialia, Pedro kiwango kwisha KBS
Nakubali Cahill ni mbovu lakini kwa jana!?????
Nikumbushe lini Cahill kacheza defence upande wa kulia???? Jana ndo kajaribishwa na ikala kwetu lakini hata ukiangalia replays magoli yote mawili hakukuwa na kosa la Cahill bali Rudiger.
Mimi kwenye namba 2 yako hapo badala ya kumuweka Rudiger ningemuweka Christensen.
Cahill ni mbovu ila si kwa chuki hizi mnazomwonyesha.
Rudiger na Bakayoko jana were ...ah...
Tukutane Jumapili!
Usiseme hivyo
Mimi ni Chelsea lakini PSG wakikutana na Chelsea wana ujasiri mkubwa sana mechi mbili mfululizo walitutupa nje ya UEFA nafikiri ni 2014 na 15. Tena ile PSG ya kawaida. Hii PSG ya sasa mbele wako Nay, Mbappe, Edinson na Cavani ni hatari zaidi. Chelsea makini tu ndio itakayoweza kupata ushindi mwembamba au draw.
Asimpange Bakayoko ampange nani? Au amuondoe Fabrigas amweke nani? Wenzetu waliosajiri vizuri wanachekelea, sisi tulijifanya kuuza Matic na kumnunua majeruhi Bakayoko. Moses bado hajapata mbadala kabisa. Alonso hana backup,Mbele yuko Hazard peke yake Morata sijui bado ni armstring au nini... Mtamlaumu Conte lakini ukweli unabaki kwamba tuna kikosi duni. Wachezaji ni Kante, Azpilicueta, Hazard, na Moses na Alonso kidogo.
Kyle Scott alikipiga flsh sana under 19 nashangaa hajawah cheza kabsa yan ..mkuu kikosi ni kizuri ona spurz hawajafanya usajili wa kutisha ila pochetino ni mbunifu anawaamini wadogo kama[winks+trippier+sanchez+etc] ona wanavofanya kazi hadi madrid na viungo wao akina modrid+casemiro+alonso walipoteana kwa watoto wadogo akina winks+dier.
kwanini conte asimpange Kennedy namba ya alonso??????? alonso anacheza kama bado yupo sunderland.
tuna vijana wazuri sana akina[KENNEDY+ANDREAS+MUSONDA+SCOTY] so why asiwape nafasi kama pochetino afanyavo?????
anakumbatia watu wasio na morali wanacheza kama wanalazimishwa.